Je, Rais Magufuli amevunja Katiba kwa kumteua Jaji Zepherine Nyalugenda Galeba kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa?

Watu mnahangaika bure, JIWE ndiye Jaji Mkuu na JIWE ndiye Spika - hao waliopo ni justification tu ya position kikatiba
 
Duh!! Hii Ni danger!!
 
... thanks Mkuu. Ndio maana nilisema "ni mtazamo wangu".
Kwa kuongezea, uteuzi ni PROCESS... Inaanza kwenye kuangalia katiba na sheria mbalimbali zinasema nini unapotaka kumteua mtu kwenye nafasi fulani, unafanya veting, unamteua na kumpa taarifa au kimya kimya anashitukia tu katangazwa, akipewa taarifa anapewa nafasi ya kusema ndiyo au hapana, then inatangazwa kwa PUBLIC then mtu anashika nafasi na kuanza kazi rasmi...

WITHIN THE PROCESS, chochote kikikiukwa, hasa vya kisheria au kikatiba, KUTANGAZA HAKUHALALISHI IVUNJAJI WA KATIBA.... kutangaza huku katiba imekiukwa, ni sawa na kuwatangazia watu kuwa umeamua kuvunja katiba... KWAKE SI MARA YA KWANZA... si tunakumbuka wale wabunge wanaume wa kuteuliwa walitakiwa wasizidi watano.!? Na bahati mbaya akishateua mbunge, hana uwezo wa kumtengua..!! ikabidi mteuliwa atumie busara ya kujiuzulu yeye mwenyewe na akapewa nafasi nyingine, kama sijakosea ubalozi..
 
Kuna walakini kwenye maelezo yako, kama kila kitu kitaamuliwa kwa anavyoona yeye kuwa ni sawa, NINI MAANA YA KUWA NA KATIBA?
 
Maelezo haya ................. Ilimradi tu kiwe na manufaa kwa taifa... maana yake hawezi fanya chochote...!! huoni kama unajipinga mwenyewe..!?
 
Umeliweka vizuri, kongole
 
Kasi kwa kuvunja Katiba, kumbe wewe takataka... huwa nakufikiria kama sensible man/lady, kumbe...

Wewe ndo tatizo. Hujaona kivuko kimepelekwa Mafia / rufiji. Kwa Mfano habari yako inaleta kitu gani positive katika maisha ya watanzania. Ukikaa na kuishi kutafuta makosa huwezi kuwa na mtu yeyote duniani. Jaribu kuwa positive. Andika maandiko ya kuelemisha. Kuburidisha. Lakini Pia. Ishi maisha ya Mfano. Mana kwa maandiko yako unaonekana kuwa huridhiki na maisha na negativity. Seeing always a half empty cup of something and not the half full cup of .... just be positive.
 
Am
Ameapishwa leo mzee baba na uteuzi umeanza rasmi leo. Unalo la kusema tena
 
have possessed such qualifications .... what are such qualifications? zitafute hizo halafu urudi tujadili
 
have possessed such qualifications .... what are such qualifications? zitafute hizo halafu urudi tujadili

Ungesoma nilichoandika kwenye Aya ya mwisho usingenipatia mimi tena hayo majukumu, nina imani una sources za hivyo vigezo ndio maana nikakuomba utuletee ili tuvifahamu na kuona kama Mheshimiwa Jaji alikua navyo hiyo 2005 kurudi nyuma ama hakua navyo.
 
Hiyo Katiba imevunjwa namna gani ??
 
Oneni hata ikulu kahamishia chato
Sio tatizo lake ni letu Watanzania. Katiba yetu inampa Rais wa JYMTZ maamlaka makubwa kiasi kwamba anaweza kuwa mungu mtu. Kwa pamoja tumuombee amuue kwa hiari yake kuruhusu mchakato katiba ya wananchi.
 
hii ina nafasi yake , unaweka PO... all these things are taken care of! Usitetee udikiteita!

PO ni culprit nyingine ya ucheleweshaji wa kesi ya msingi. Nimeona POs zikichukua zaidi ya mwaka kuamuliwa. Hii inaepukika, registry ikifanya kazi zake ipasavyo. Ndiyo maana registrar/deputy registrar mwenyewe ni mtu ambaye wakati mwingine tayari ana sifa za kuteuliwa kuwa judge. They shouldn’t admit every stupid appeal that comes their way!
 
Let the judge say this, not any other person.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…