Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Ni wewe au wamehack akaunti?Acha kukarii dunia inaenda kasi sana!
Duh!! Hii Ni danger!!Mkuu nakuomba utulie tu utaishia kuugua vidonda vya tumbo,
Raisi anamamlaka yakufanya chochote kadri awezavyo au itakavyompendeza ilimradi tu hicho kitu kiwe na manufaa kwa Taifa,
Na hashitakiwi popote pale kwa sheria zenu hizo hizo mnazozikazia mishipa ya shingo
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kwa kuongezea, uteuzi ni PROCESS... Inaanza kwenye kuangalia katiba na sheria mbalimbali zinasema nini unapotaka kumteua mtu kwenye nafasi fulani, unafanya veting, unamteua na kumpa taarifa au kimya kimya anashitukia tu katangazwa, akipewa taarifa anapewa nafasi ya kusema ndiyo au hapana, then inatangazwa kwa PUBLIC then mtu anashika nafasi na kuanza kazi rasmi...... thanks Mkuu. Ndio maana nilisema "ni mtazamo wangu".
Kuna walakini kwenye maelezo yako, kama kila kitu kitaamuliwa kwa anavyoona yeye kuwa ni sawa, NINI MAANA YA KUWA NA KATIBA?kwa kitendo cha kutamka mbele ya Jaji Mkuu ni wazi kabisa tayari amewasiliana naye(impliedly),yuko sawa kabisa.
kumbuka pia Rais anashauriwa tu na halazimishwi wala hapingwi kwa alicho kiona yeye ni sawa.
yuko sahihi kikatiba, hakuna katiba wala sheria yoyote iliyo vunjwa.
tusimuonee wivu mteule Jaji wa rufaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Maelezo haya ................. Ilimradi tu kiwe na manufaa kwa taifa... maana yake hawezi fanya chochote...!! huoni kama unajipinga mwenyewe..!?Mkuu nakuomba utulie tu utaishia kuugua vidonda vya tumbo,
Raisi anamamlaka yakufanya chochote kadri awezavyo au itakavyompendeza ilimradi tu hicho kitu kiwe na manufaa kwa Taifa,
Na hashitakiwi popote pale kwa sheria zenu hizo hizo mnazozikazia mishipa ya shingo
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Umeliweka vizuri, kongolenisikilize vizuri hukumu ya kiswahili sio ya kwanza, na kwa mahakama kuu kitengo cha kazi hukumu inaweza kua ya kiswahili au kiingereza na zimeshaandikwa nyingi kadhaa miaka ya nyuma.Nilimshangaa Rais kusema kitendo cha kuandika hukumu ya kiswahili ni ushujaa wakati sheria inaruhusu, kifungu cha 4 cha the Labour Court Rules of 2007 kinasema lugha ya makahakama itakua bi-lingual kiswahili au kiingereza.Hivyo jaji hakufanya jambo jipya bali alitumia mamlaka aliyopewa kisheria.Angeweza kupewa tuzo ya kukuza kiswahili lakini si kuteuliwa kua jaji wa mahakama ya Rufani kwa kigezo tu cha kuandika hukumu kwa kiswahili,toka uhuru mahakama za mwanzo hazijawahi andika hukumu kwa kiingereza bali huandika kwa kiswahili.Inafurahisha mheshimiwa kila siku anasaini miswada na sheria kwa kiingereza sijawahi sikia akitaka iandikwe kwa kiswahili.
Kasi kwa kuvunja Katiba, kumbe wewe takataka... huwa nakufikiria kama sensible man/lady, kumbe...
Ameapishwa leo mzee baba na uteuzi umeanza rasmi leo. Unalo la kusema tenaMkuu, kiutaratibu appointment inakamilika pale mhusika anakapokabidhiwa barua ya uteuzi na kusaini kukubali uteuzi huo. So, kwa kuwa process hiyo haijakamilika maana yake hakuna uteuzi uliofanyika na, kwa maana hiyo, Rais hajavunja Katiba.
Atashauriana na wahusika hapo baadaye kama Katiba inavyotaka na mhusika kuteuliwa rasmi kwa barua kukamilisha process. Ni mtazamo wangu tu lakini.
... Katiba inamtaka ashauriane na Jaji Mkuu na sio na public Chief.Am
Ameapishwa leo mzee baba na uteuzi umeanza rasmi leo. Unalo la kusema tena
have possessed such qualifications .... what are such qualifications? zitafute hizo halafu urudi tujadiliMimi ambae sijasoma sheria nimeelewa kwamba anaweza kumteua yeyote ambae amekua na vigezo vya kuwa Jaji wa mahakama kuu kwa miaka 15 ama zaidi.
Haisemi ambae amekua Jaji wa mahakama kuu kwa miaka 15 ama zaidi.
Labda utupatie hivyo vigezo vinavyotajwa ili tujue kama hiyo 2005 huyu jaji alikua navyo ama Lah.
have possessed such qualifications .... what are such qualifications? zitafute hizo halafu urudi tujadili
hii ina nafasi yake , unaweka PO... all these things are taken care of! Usitetee udikiteita!Kwa mfano, uamuzi mdogo (interlocutory ruling/order)
Sio tatizo lake ni letu Watanzania. Katiba yetu inampa Rais wa JYMTZ maamlaka makubwa kiasi kwamba anaweza kuwa mungu mtu. Kwa pamoja tumuombee amuue kwa hiari yake kuruhusu mchakato katiba ya wananchi.
Unadhalilisha jina la mtumishi wa Mungu aliyetukuka sana. JOHN THE BAPTIST kwa lugha yetu Yohana Mbatizaji! Uabishwe!!!Wewe unaijua katiba ya Chadema!
Banana Republic chini ya Utawala wa Insanity Presida.....!!!!Oneni hata ikulu kahamishia chato
hii ina nafasi yake , unaweka PO... all these things are taken care of! Usitetee udikiteita!
Let the judge say this, not any other person.PO ni culprit nyingine ya ucheleweshaji wa kesi ya msingi. Nimeona POs zikichukua zaidi ya mwaka kuamuliwa. Hii inaepukika, registry ikifanya kazi zake ipasavyo. Ndiyo maana registrar/deputy registrar mwenyewe ni mtu ambaye wakati mwingine tayari ana sifa za kuteuliwa kuwa judge. They shouldn’t admit every stupid appeal that comes their way!
A country of Kangaroo JudiciaryBanana Republic chini ya Utawala wa Insanity Presida.....!!!!
Poleni sana Wabongo.