Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,370
- 14,929
Tunashukuru sana kama kaivunja maana ilikuwa mbovu sana.
Naomba kujua katiba mpya tutaanza kuandika lini?
Utavunjaaje nyumba yako mbovu wakati huna pesa wala mpango wa kujenga nyumba mpya??!!😒
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunashukuru sana kama kaivunja maana ilikuwa mbovu sana.
Naomba kujua katiba mpya tutaanza kuandika lini?
Please look at my post number 66.
Nilishapitia hiyo point katika mjadala na kajekudya.
Ulitegemea wampinge ...murura kweli wewe!Mbona Jaji mkuu na Spika Ndugai walimpongeza kwa uteuzi ule?
Wewe unaijua katiba kuliko mihimili ya bunge na mahakama?
Wewe Bavicha ni bure kabisa!
The other Justices of Appeal shall be appointed by the President after consultation with the Chief Justice, from amongst persons who qualify to be appointed Judges of the High Court of the United Republic as provided for in Article 109 of this Constitution, or from amongst persons who qualify to be appointed Judges of the High Court of Zanzibar in accordance with the laws applicable in Zanzibar and have possessed such qualifications for a period of not less than fifteen years.
1. Consultation haikufanyika
2. 15 yrs hajatimiza
---
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimuapish Bw. Zepherine Nyalugenda Galeba Kuwa Jaji wa Mahakama ya Kuu . Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam. Januari 29,2019
Kila kitu kimeandikwa humu, just read!
Hata haki ya kufungua kesi sasa hivi Watanzania hatuna tena Mkuu,
Court of Appeal ni jambo la muunganoMbona umequote sheria ya mahakama kwa Zanzibar wakati jaji ametokea Tanzania bara?
Hii kaliSio tatizo lake ni letu Watanzania. Katiba yetu inampa Rais wa JYMTZ maamlaka makubwa kiasi kwamba anaweza kuwa mungu mtu. Kwa pamoja tumuombee amuue kwa hiari yake kuruhusu mchakato katiba ya wananchi.
Utaratibu hata kama haujafika mwisho, kama hizi tararibu za mwanzo hazijafuatwa, ni kwamba katiba imevunjwa....Mkuu, kiutaratibu appointment inakamilika pale mhusika anakapokabidhiwa barua ya uteuzi na kusaini kukubali uteuzi huo. So, kwa kuwa process hiyo haijakamilika maana yake hakuna uteuzi uliofanyika na, kwa maana hiyo, Rais hajavunja Katiba.
Atashauriana na wahusika hapo baadaye kama Katiba inavyotaka na mhusika kuteuliwa rasmi kwa barua kukamilisha process. Ni mtazamo wangu tu lakini.
Am sure wale chawa wake watakuja kubeba majibu yako haya na kumpa mkulu ili ayatumie kama majibu akiwa public.Mkuu, kiutaratibu appointment inakamilika pale mhusika anakapokabidhiwa barua ya uteuzi na kusaini kukubali uteuzi huo. So, kwa kuwa process hiyo haijakamilika maana yake hakuna uteuzi uliofanyika na, kwa maana hiyo, Rais hajavunja Katiba.
Atashauriana na wahusika hapo baadaye kama Katiba inavyotaka na mhusika kuteuliwa rasmi kwa barua kukamilisha process. Ni mtazamo wangu tu lakini.
Uwezo tunaoUtavunjaaje nyumba yako mbovu wakati huna pesa wala mpango wa kujenga nyumba mpya??!!😒
... thanks Mkuu. Ndio maana nilisema "ni mtazamo wangu".Utaratibu hata kama haujafika mwisho, kama hizi tararibu za mwanzo hazijafuatwa, ni kwamba katiba imevunjwa....
... kabla ya uteuzi.Consultation inatakiwa ifanyike baada au kabla ya uteuzi?
or from amongst persons who qualify to be appointed Judges of the High Court of Zanzibar in accordance with the laws applicable in Zanzibar and have possessed such qualifications for a period of not less than fifteen years.
... thanks Mkuu. Ndio maana nilisema "ni mtazamo wangu".Aliposema "kuanzia leo" alikuwa namaana gani"
Amezoea kuteua na kutengua wateule wake kwa kuropoka jukwaani.Nani huyo aliyeROPOKA??!!
Katiba mpya sio issue,issue ni content zitakazikuwepo humo.....Tunashukuru sana kama kaivunja maana ilikuwa mbovu sana.
Naomba kujua katiba mpya tutaanza kuandika lini?
nisikilize vizuri hukumu ya kiswahili sio ya kwanza, na kwa mahakama kuu kitengo cha kazi hukumu inaweza kua ya kiswahili au kiingereza na zimeshaandikwa nyingi kadhaa miaka ya nyuma.Nilimshangaa Rais kusema kitendo cha kuandika hukumu ya kiswahili ni ushujaa wakati sheria inaruhusu, kifungu cha 4 cha the Labour Court Rules of 2007 kinasema lugha ya makahakama itakua bi-lingual kiswahili au kiingereza.Hivyo jaji hakufanya jambo jipya bali alitumia mamlaka aliyopewa kisheria.Angeweza kupewa tuzo ya kukuza kiswahili lakini si kuteuliwa kua jaji wa mahakama ya Rufani kwa kigezo tu cha kuandika hukumu kwa kiswahili,toka uhuru mahakama za mwanzo hazijawahi andika hukumu kwa kiingereza bali huandika kwa kiswahili.Inafurahisha mheshimiwa kila siku anasaini miswada na sheria kwa kiingereza sijawahi sikia akitaka iandikwe kwa kiswahili.Ukitaka maajabu njoo Tanzania na fuatilia kauli na teuzi za Rais. Huyo Jaji Zephania anajua kabisa kuwa lugha ya Mahakama Kuu ni Kiingereza. Kwa hiyo kitendo cha kuandika hukumu kwa Kiswahili alipaswa achukuliwe hatua.
Wasiojua kuandika na kuongea English wanapeana shavu. Kwa kuwa yeye Meko anaongea broken English anahalalisha udhaifu wake kwa kubariki makosa. Kimsingi huyo Jaji hakupaswa kuwa JAJI wa Mahakama Kuu, instead alipaswa kuwa Hakimu wa Mahakama za chini tu.