inatambulika kama president's security unit (PSU)Acha kupost vitu visivyo na tija,kwani members wa presidential security services wote unawafahamu?au na wewe umepost
Huyo ni mlinzi alhajjj Ni miongoni wa makamanda katika kikosi Cha ulinzi wa Rais yupo sana tuuKuna watendaji wa Ikulu tunezoea kuwaona kwenye macho yetu hasa hawa Walinzi. Kuna yule aliyesemwa kwa kuvaa nguo za CCM simuoni. Huyu Mlinzi wa rais Magufuli alikuwepo hata kabla ya rais kuwa rais, kipindi hicho alikuwa anafanya Kampeni za kuwa rais. Mbona sasa simuoni?
![]()
Yes ni Alhaji, ni ndugu yetu wa kule Utete-Rufiji.Wakuitwa Mbatikele.Huyo ni mlinzi alhajjj Ni miongoni wa makamanda katika kikosi Cha ulinzi wa Rais yupo sana tuu
Walinzi nap Ni binadamu wankua na off duty
Salaam wakuu,
Kuna watendaji wa Ikulu tunezoea kuwaona kwenye macho yetu hasa hawa Walinzi. Kuna yule aliyesemwa kwa kuvaa nguo za CCM simuoni. Huyu Mlinzi wa rais Magufuli alikuwepo hata kabla ya rais kuwa rais, kipindi hicho alikuwa anafanya Kampeni za kuwa rais. Mbona sasa simuoni?
View attachment 1520424
Naombeni Muongozi
View attachment 1520415
View attachment 1520419
Huyu Mwamba kaenda wapi?
Hata mie nilimuona jana muda wa kuondoka wakati anakimbilia gariHuyo alienzanae kwenye kampen Jana alikuwepo taifa
Mkuu umri ukienda wanabadilishwa kuletwa vijana wanaoweza karate na kucheza haswa role ya bodyguard.Salaam wakuu,
Kuna watendaji wa Ikulu tunezoea kuwaona kwenye macho yetu hasa hawa Walinzi. Kuna yule aliyesemwa kwa kuvaa nguo za CCM simuoni. Huyu Mlinzi wa rais Magufuli alikuwepo hata kabla ya rais kuwa rais, kipindi hicho alikuwa anafanya Kampeni za kuwa rais. Mbona sasa simuoni?
View attachment 1520424
Naombeni Muongozi
View attachment 1520415
View attachment 1520419
Huyu Mwamba kaenda wapi?
Salaam wakuu,
Kuna watendaji wa Ikulu tunezoea kuwaona kwenye macho yetu hasa hawa Walinzi. Kuna yule aliyesemwa kwa kuvaa nguo za CCM simuoni. Huyu Mlinzi wa rais Magufuli alikuwepo hata kabla ya rais kuwa rais, kipindi hicho alikuwa anafanya Kampeni za kuwa rais. Mbona sasa simuoni?
View attachment 1520424
Naombeni Muongozi
View attachment 1520415
View attachment 1520419
Huyu Mwamba kaenda wapi?
Mama Janet ana sura ya kirwanda
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Wote 3 hapo kwenye picha - Mama, baba na mlinzi. Hizo sura siyo zetu.
Maxence chukua hii comment ya kisomi, jamiiforum ni budi ichangiweMmh laiti kuanzisha uzi ingetozwa 100 hadi 500 shillings, JF wangetajirika sana
Habari hii inakusaidiaje kujikwamua kiuchumi?,inaongeza pato lako kwa asilimia ngapi?Salaam wakuu,