Je, rais Magufuli kabadilishiwa Walinzi? Hizi sura sijawahi kuziona!

kuna jamaa mmoja alikuwa na usingizi itabidi aombe msaada asaidiwe,

alikuwa mbele kanisaaa[emoji1787]
 
Mkuu wale nao ni binadamu wanapumzika, wanakuwa na likizo, wanaugua maradhi, wanapata uchovu, n.k.
Haiwezekani kuwa kazini 24hrs/7days kwa siku 365 zote. Kanuni ya human Performance ni kuepuka fatigue and any emotional or physical distress.
Ndiyo maana kazi zote zinazohitaji umakini almost 100% huwa wanafanya 'shift' ya kuingia kazini kupunguza majanga yanayo epukika.

Fanya kazi zingine mkuu achana nao hao.
 
Huyo ni mlinzi alhajjj Ni miongoni wa makamanda katika kikosi Cha ulinzi wa Rais yupo sana tuu
Walinzi nap Ni binadamu wankua na off duty
 
Hivi kazi maalum ya hawa Walinzi nj ipi hasa ,na wanauwezo wa kumfanya nini muhalifu ?
 
Huyo ni mlinzi alhajjj Ni miongoni wa makamanda katika kikosi Cha ulinzi wa Rais yupo sana tuu
Walinzi nap Ni binadamu wankua na off duty
Yes ni Alhaji, ni ndugu yetu wa kule Utete-Rufiji.Wakuitwa Mbatikele.
 

Kuna Mada zingine ni za Kipopoma / Kipumbavu hadi huwa ninajuta hata kwanini nimepoteza Wasaa wangu Wote kabisa Kuzifungua na Kuzisoma.
 
Ndo yule mwamba aliyetia nia Nkasi kaskazini wajumbe wakampiga Spana?
Wajumbe buana, hawaogopi kabisa.
 
Mkuu umri ukienda wanabadilishwa kuletwa vijana wanaoweza karate na kucheza haswa role ya bodyguard.
Yule wa zamani si ulina na kakitambi kalianza!
 
Habari hii inakusaidiaje kujikwamua kiuchumi?,inaongeza pato lako kwa asilimia ngapi?
 
Huyo mwamba yupo,hapo alienda kula so nafasi akakaimisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…