Je, rais Magufuli kabadilishiwa Walinzi? Hizi sura sijawahi kuziona!

Jamaani! Unatakaje? Unataka kila kitu wanachofanya(SPU) tuwe tunataarifiwa humu? Hao unaowaulizia wamebaki wanamlinda Bashite na familia yake,na wengine wapo Dar wanafatilia nyendo za Lissu.
HAKUNA kitu kinaitwa SPU, kitengo cha ulinzi wa mh Rais kinaitwa PSU yaani Presidential Security Unit. Halafu acha bangi za ufipa.
 
Inaelekea unafuatilia Sana masuala ya ulinzi wa Rais...na sababu za kufanya hivyo unazijua mwenyewe...
 
Acha ufukunyuku. Halafu ukishajua wako wapi umepanga kufanya nini?
 
Maisha yanaenda kwa kasi huyo jamaa mweusi sasa hv ana kitambi kwa bonge hatari
 
Labda Anaumwa jino, Hawa watu wasiojulikana huwa wanaumwa jino halaf wanavuta
 
Wewe una nini? Mbona unafuatilia saana squad ya ulinzi wa rais? Inakuhusu nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…