Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
Hakuwekewa vikwazo kwenda UK?Atakuwepo
inasikitisha sanaa.Wakamle nyoro View attachment 2352776
Sidhani kama hiyo mbwa Putin inaweza hata kukaribishwa kula makombo ya mbwa wa Malkia.Hili ni swali najiuliza.
Diplomasia na mahusiano ya miaka mingi yataweza kupotezwa kwasababu ya ugomvi kule Ukraine?
Pengine muda utatupatia majibu.
View attachment 2352765
Hapana naona Kremlin wamesema hataenda.Atakuwepo
Angeenda ingempa heshima kwenye ulimwengu wa diplomasia.Kwani akienda ndio Ukraine hajiungi na Nato
Maiti INA diplomasia??Angeenda ingempa heshima kwenye ulimwengu wa diplomasia.
Unafahamu diplomasia ni kitu gani?Maiti INA diplomasia??
Wanapomtenga ni diplomasiaUnafahamu diplomasia ni kitu gani?
Kuvamia nchi nyingine ni diplomasia? Kwanini hajatengeneza ushawishi ili Ukraine ashirikiane naye?Wanapomtenga ni diplomasia
Rais wa nchi kubwa kama hizo hawezi kuliwa kichwa kizembe hivyo...hasara baada ya kumuua ni kubwa kuliko kumuacha hai....Hatathubutu anaogopa kuliwa kichwa. Choon yenyewe anaogopa kwenda sembuse msibani.
Haendi, umesikia, katoa pole kwa simu na kumpongeza King Charles..!!Hili ni swali najiuliza.
Diplomasia na mahusiano ya miaka mingi yataweza kupotezwa kwasababu ya ugomvi kule Ukraine?
Pengine muda utatupatia majibu.
View attachment 2352765