Je, Rais Putin ataenda kwenye mazishi ya Malkia Elizabeth?

Je, Rais Putin ataenda kwenye mazishi ya Malkia Elizabeth?

Kwake nyumbani kunawaka moto wanaume wanampumulia nyuma wako boda saizi.
 
Rais wa nchi kubwa kama hizo hawezi kuliwa kichwa kizembe hivyo...hasara baada ya kumuua ni kubwa kuliko kumuacha hai....
Nafikiri unajua sababu kuu ya vita kuu ya kwanza ya dunia....???
Ilikuaje mkuu, tukumbushie kdg
 
Kwani Putin kaalikwa? Rwanda na Kenya wamealikwa, 🇹🇿 Tanzania tumetoswa. Huko huendi kama unaenda kwenye msiba wa mgema ulanzi
Sio kweli, katika hali ya kawaida Putin angetoa taarifa kwamba anataka kwenda lazima angekaribishwa. Uingereza haiwezi kuitosa Tanzania kwenye jambo kama hili.
 
Back
Top Bottom