Lord Delamere in Kenya
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,988
- 8,021
Hivi mazishi (sijui maziko) yatakuwa lini?Hili ni swali najiuliza.
Diplomasia na mahusiano ya miaka mingi yataweza kupotezwa kwasababu ya ugomvi kule Ukraine?
Pengine muda utatupatia majibu.
View attachment 2352765
Tarehe 19 mwezi huu.Hivi mazishi (sijui maziko) yatakuwa lini?
Huwa kunakuwa na ile public gathering ambayo ndio wanaita mazishi pale watu wanatoa speech kisha anaenda kuzikwa privately.
Unakufa taratibuRais wa nchi kubwa kama hizo hawezi kuliwa kichwa kizembe hivyo...hasara baada ya kumuua ni kubwa kuliko kumuacha hai....
Nafikiri unajua sababu kuu ya vita kuu ya kwanza ya dunia....???
hahahahaaaaaKwake nyumbani kunawaka moto wanaume wanampumulia nyuma wako boda saizi.
Hapa ndio siku alimpaua her Majesty the QueenHili ni swali najiuliza.
Diplomasia na mahusiano ya miaka mingi yataweza kupotezwa kwasababu ya ugomvi kule Ukraine?
Pengine muda utatupatia majibu.
View attachment 2352765
Hapa umeandika kitu gani?Hapa ndio siku alimpaua her Majesty the Queen
Ilikuaje mkuu, tukumbushie kdgRais wa nchi kubwa kama hizo hawezi kuliwa kichwa kizembe hivyo...hasara baada ya kumuua ni kubwa kuliko kumuacha hai....
Nafikiri unajua sababu kuu ya vita kuu ya kwanza ya dunia....???
Put It InHapa umeandika kitu gani?
Kwani Putin kaalikwa? Rwanda na Kenya wamealikwa, 🇹🇿 Tanzania tumetoswa. Huko huendi kama unaenda kwenye msiba wa mgema ulanziHili ni swali najiuliza.
Diplomasia na mahusiano ya miaka mingi yataweza kupotezwa kwasababu ya ugomvi kule Ukraine?
Pengine muda utatupatia majibu.
View attachment 2352765
Sio kweli, katika hali ya kawaida Putin angetoa taarifa kwamba anataka kwenda lazima angekaribishwa. Uingereza haiwezi kuitosa Tanzania kwenye jambo kama hili.Kwani Putin kaalikwa? Rwanda na Kenya wamealikwa, 🇹🇿 Tanzania tumetoswa. Huko huendi kama unaenda kwenye msiba wa mgema ulanzi