Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,939
- 10,403
HaweziBila shaka nyote mnafahamu kuwa Dr. Samia yupo ziarani mkoani Arusha kuanzia leo.
Swali muhimu la kujiuliza: Je, atafika Ngorongoro kuwatuliza Wamasai?
Bora asifike maana hana la maanaBila shaka nyote mnafahamu kuwa Dkt. Samia yupo ziarani mkoani Arusha kuanzia leo.
Swali muhimu la kujiuliza: Je, atafika Ngorongoro kuwatuliza Wamasai?
Pia soma Kuelekea 2025 - Rais Samia Aagiza urejeshwaji wa huduma za kijamii Ngorongoro
Na hakuna la maana anaenda kufanyaKwa vile sifa kubwa ya kuwa mwanaccm ni kujitoa ufahamu anaweza kwenda ukichanganya na ulevi wa madaraka mbona ishu ndogo kwake .
Na watammaliza akileta mchezoWamasai wamemuonya asijaribu kuleta propaganda zake za kuwalazimisha watoke ngorongoro
CCM hawana tofauti na Bokoharam..anaweza kwenda na akakubali Wamaasai wabaki Ngorongoro.
..lakini kinachotakiwa ni kuwaelimisha na kuwawezesha ili baadhi wahamie maeneo mengine.
..tatizo Ccm wamezoea kutoa AMRI na kutumia MABAVU.
..suala la kuwahamisha Wamaasai linatakiwa kuwa shirikishi na endelevu.
Kama Ratiba yake inaonesha kufika Ngorongoro atafika lakini hoja ya kuwatuliza Wamasai tumwachie mwenyewe. Kwani Rais ndiye anayehamisha watu??Bila shaka nyote mnafahamu kuwa Dkt. Samia yupo ziarani mkoani Arusha kuanzia leo.
Swali muhimu la kujiuliza: Je, atafika Ngorongoro kuwatuliza Wamasai?
Pia soma Kuelekea 2025 - Rais Samia Aagiza urejeshwaji wa huduma za kijamii Ngorongoro
CCM hawana tofauti na Bokoharam
Wewe bado upo kwenye social media? Kwani atalala huko?Rais Leo yupo Nairobi kwenye uzinduz wa kampen za Odinga.
Kuna maandalizi lukuki yanaendelea Ngorongoro. Ngoja tuone kama atadiriki kufika kabla hajaondoka Arusha.Anaweza akaenda Ngorongoro lkn ajiendaye kuambiwa neno la kimasai "TWAA" lenye maana ya (kafie mbele).
Wewe si ulisema haendi Arusha?🤣🤣Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) mkoani Kilimanjaro tayari kwa kuelekea mkoani Arusha ambapo ni Mgeni Rasmi kwenye Ufunguzi wa Kikao Kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi za Umma kitakachofanyika kwenye kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha (AICC) tarehe 28 Agosti, 2024.
Mhe. Dkt. Samia amewasili uwanjani hapo akitokea nchini Kenya ambapo alihudhuria hafla ya Uzinduzi wa Kampeni ya Mhe. Raila Amolo Odinga, Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Kenya anayewania nafasi ya Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AU), tarehe 27 Agosti, 2024
Kama ikitokea hivyo, kweli mama atakuwa amefanya jambo jema sana sana tena la kishujaa. That is "You face the bull by its horns".Wewe si ulisema haendi Arusha?🤣🤣
NB: kwa Taarifa yako Kuna maandalizi yanafanywa kumkutanisha na wawakilishi wa jamii husika kabla hajaondoka Arusha.