MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Mipango ya Mungu haiepukiki. Kama mnavyojua dunia imepata mapigo mawili ya misiba Shinzo Abe wa Japan na Rais mstaafu wa Angola ndg Dos Santos.
Kwa sababu za kiprotokali mama Samia wiki ijayo huenda akawa bize Sana, kwanza ataenda Tokyo kutoa heshima zake za mwisho kwa Wajapan na familia kwa ujumla ya bwana Abe.
Baadae atarudi nyumbani kabla ya kuruka kuelekea Luanda kutoa heshima zake za mwisho kwa marehemu Dos Santos.
Safari ya Angola Haina uhakika sana hasa ikizingatiwa mama sio mtu wa safiri Sana ndani ya bara ikumbukwe hakwenda Rwanda na Kenya hapa juzi.
Huenda mpango kumuwakilisha.
Kila la Heri mama Sa