Mkuu Mungu ametulaani wabongo kumezaliwa watu kuchonga midomo hata bila kwanza kupiga mswaki.Wapinzani wetu walimsifia Rais wa jirani kwa kupanda usafiri wa umma, na kumzodoa huyu wetu kuwa ameenda na dreamliner, bila hata ya kuwa na uhakika!! Walipogundua wameingia chaka kwenye hilo, wakaanza kumzodoa kwa mambo mengine ya hovyo na ya kitoto kabisa!! Wengine wakasema amekodi ule mdege wa Emirates wote!! Kudeal na Opposition wa TZ yataka moyo sana
Wewe unadhani haiwezekani?
Acheni Roho mbaya Serikali inafanya kazi kubwa sana hii
Mkuu Mungu ametulaani wabongo kumezaliwa watu kuchonga midomo hata bila kwanza kupiga mswaki.
👊👍😍💪Mkuu tuko pamoja,
Hakuna kama Samia,
Naona wapinzani unawasingizia tu!Wapinzani wetu walimsifia Rais wa jirani kwa kupanda usafiri wa umma, na kumzodoa huyu wetu kuwa ameenda na dreamliner, bila hata ya kuwa na uhakika!! Walipogundua wameingia chaka kwenye hilo, wakaanza kumzodoa kwa mambo mengine ya hovyo na ya kitoto kabisa!! Wengine wakasema amekodi ule mdege wa Emirates wote!! Kudeal na Opposition wa TZ yataka moyo sana
Mbaya sana hii,Naona wapinzani unawasingizia tu!
Wanaompinga na kumhujumu raisi samia wala siyo wapinzani,ni wanaCCM masilahi,ambao walikuwa wananufaika na siasa za hovyo za kibabe za mwendazake. Hawa wanaCCM masilahi wanataka mama atawale nchi kwa mtindo wa mwendazake. Hawataki aongeze nchi kwa utashi wake!
Proud of,Nawasalimu kwa Jina la JMT,
Katika kile kinachoonekana kuishi na kufanya|kutenda Kizalendo kwa Rais na Waziri Mkuu wetu Mhe Majaliwa Khasim Majaliwa pamoja na kwamba Tanzania tunajumla ya ndege mpya 11 wao wameamua kwenye baadhi ya shughuli zao za kiserikali zinazotumia gharama kubwa ya ndege na maeneo hayo kama kunandege watatumia usafiri huo wa Umma,
Tarehe 16|09|2021 waziri mkuu alipanda " Precision Air line " kwenda Kigoma kwenye ziara ya kikazi wakati tarehe 19|09|2021 Rais Samia alipanda Emirates Air line kwenda New York Marekani kwaajili ya kuhudhuria mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa,
Sote tunafahamu,Umbali kutoka Kigoma -Dar es salaam ni km 1,081 sawa na masaa 2:30 angani,Hii kwahakika ni Safari ndefu na inatumia gharama kubwa za Serikali ndio sababu Waziri mkuu aliamua kutumia Usafiri wa Umma yaani Precision Air Line ambayo inafanya Safari zake Kigoma- Dar kwa zaidi ya miaka 15 Sasa,
Watanzani ondoeni shaka nchi yenu iko Salama sana pengine tangu kuumbwa kwake,
VIVA MAJALIWA VIVA ||VIVA SANIA VIVA
Tanzania haina wapinzani "credible"....
Acha kushangaa ndio awamu ya sita hiyo,Hiyo kwenye video iliyoambatanishwa ni Precisionair?
Tufanye ni yenyewe, kwamba ilikua na abiria wengine akashuka kwanza yeye kwenye zulia jekundu na abiria wakaenda kushushwa eneo la abiria ama ilikuaje? Nauliza tu nifahamishwe!
Alafu unaishi store, mbona hujivunii kwa hiloNajivunia kuwa raia wa TANZANIA.....
Najivunia kuwa na rais wetu kipenzi chifu mkuu mh.Hangaya SSH!
Najivunia kuwa na makamu wa Rais mh.Philip I.Mpango na PM mh. Kassim Majaliwa [emoji123][emoji106][emoji109][emoji7]
#NchiKwanza
#SiempreJMT
Bwana PGO nini kimekufurahisha mkuu?Nimecheka sana
Mungu hana upendeleoAlafu unaishi store, mbona hujivunii kwa hilo
Daah,Matumizi ya ndege za kukodi kwenye safari za serikali za viongozi ni kwa faida ya nani?
Mwaka mmoja uliopita Sasa anatumia za kukodisha Ambazo gharama ni kubwa na ukizingatia tuna ndege za serikali na marubani wa serikali kwa ajili ya usafiri wa viongozi ukiacha wahandisi na wahudumu! Huu ndo uzalendo kweli? MY TAKE Mishahara ya wafanyakazi wa shirika la ndege la serikali...www.jamiiforums.com
CHADEMA ACHENI KUPOTOSHA
KAZI IENDELEE
😀😀😀Machadema awamu hii hakuna rangi mtaacha kuona,
Hujui ata rangi ya Precision?
😀😀😀Kelele zetu zjmelipa,maana kuna kipindi Samia alikuwa na Airbus na Makamu akawa na Airbus huku PM akiwa na Bomberdier!
Swali:Hiyo ndege imekodiwa au amesafiri kama abiria?
Kuna mambo yanachekesha. Ukiamua kufa kwa sonona unataka mwenyeweBwana PGO nini kimekufurahisha mkuu?
Duuh.....😳😳😳Alafu unaishi store, mbona hujivunii kwa hilo
Tatizo bado liko pale pale, ndege wanakodi hizoKelele zetu zjmelipa,maana kuna kipindi Samia alikuwa na Airbus na Makamu akawa na Airbus huku PM akiwa na Bomberdier!
Swali:Hiyo ndege imekodiwa au amesafiri kama abiria?
Alienda peke ake?Nawasalimu kwa Jina la JMT,