Je, Rais Samia na PM wameamua kutumia usafiri wa umma ku-cut cost kwenye ziara zao? | Majaliwa alitua Kigoma kwa Precision, Rais akaondoka na Emirates

Huo msafara una watu wangapi na wamepanda daraja gani? hatari tupu
 
Hiyo kwenye video iliyoambatanishwa ni Precisionair?

Tufanye ni yenyewe, kwamba ilikua na abiria wengine akashuka kwanza yeye kwenye zulia jekundu na abiria wakaenda kushushwa eneo la abiria ama ilikuaje? Nauliza tu nifahamishwe!
Swali zuri
 
Je unafahamu hili la matumizi ya public transport wamelianza lini, alipokabidhiwa madaraka hukuwahi kwaona kila mtu alikuwa ana safairi na ndege yake, Makamu wa Rais ndege yake, Waziri Mkuu ndege yake, Rais ndege yake, halafu wote wanaondoka ndani ya wiki moja, Je wakiamua kutumia public transport ndio wataanza kuwalipa Wastaafu MAFAO yao kila mwezi?(maana wameamua kupunguza matumizi ili sehem zingine zipate sehem ya fedha) sasa jiulize kwanini Rais asitumie ndege ndogo kwenda dodoma hapo karibu badala ya Boeing ndege kubwa hiyo sio gharama hizo ni kilometa chache sana. Kuna ndege ya Rais ni ndogo na matumizi yake ni madogo sana kwanini Rais haitumii hiyo ndege maana ina matumizi kdg sana zaidi ya Boeing anayo itumia kwa sasa kwenda kilometa chache kama kwenda Zanzibar na Dodoma. ni hayo tu naomba kuwasiliaha kama yanaweza yakajibiwa sawa
 
Unaandika too long mkuu,

.Fupisha tukujibu

But am sorry

#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
 
Tatizo bado liko pale pale, ndege wanakodi hizo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawana hoja
 
Hongera Sana viongozi wetu
 
Safi Sana PM
 
Kaziindelee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…