Kingdan
Member
- May 5, 2020
- 61
- 49
Habari wa jf wenzangu,
Kwa mujibu wa hotuba ya mheshimiwa rais ya tarehe 6April2021. Nmesikia mama amezungumza mengi lakini muelekeo wake najaribu kuuhusianisha na kaulimbiu ya mzee wa dakika 90,bwana Membe,
Je,kwa mujibu wa hotuba ile ni kweli inawezekana BCM nae akawa mshauri maana mama anataka Watz tuwe na hela mfukoni kwa kuruhusu sana wawekezaji nchini,lakink pia kutaka watumishi watumie akili sio nguvu,
Kwa mtazamo huo, je,ni kweli mama anaungana na jasusi ili Tanzania tuwe na furaha?