Je, Rais wa Tanzania ipo siku atakuwa na la Kujibu kwenye mamlaka zijazo juu ya Kupotea kwa Ben Saanane?

Je, Rais wa Tanzania ipo siku atakuwa na la Kujibu kwenye mamlaka zijazo juu ya Kupotea kwa Ben Saanane?

Ewe mchungaji nilikupa kondoo 10 uwachunge lkn mbona wengine siwaoni,Swali la kuulizwa njiapanda ya kuzimu na paradiso
 
Nauliza swali hili very technically

Niko Tiyari niendelee kukaa uhamishoni huku lakin na on a waandishi wa habari na watu wanaopaswa kuuliza ni waoga kupitiliza

Saa Nane kwa Maneno yake Mwenyewe alisema

"Nimetumiwa ujumbe baada ya kukosoa elimu ya mtu mkubwa na nikaambiwa andika Ben Saanane andika Lakin ipo siku utajikuta mwenyewe na chatu"

Hii uwa inanifikirisha ni ama watu walimtaim president wakafanya uhuni wa kumpoteza SAA nane baada ya kuhoji PHD wakampoteza ionekane Suspect ni yule alozungumziwa?

Yaan watengeneze mazingira kama walivyoyatengeneza kwa Lissu baada ya rais kusema kwamba "Tunapigana vita huyu mtu anageuka kupiga front, huyo ndo anauwawa"

Banda ya napo Risasi

Nauliza Ipo siku Raisi atawajibika kwa kupotea kwa Saa Nane, ama kwenye Taasisi au kwenye kuyakili makosa ya uongozi wake?

Britannica
Ajibu nini sasa!
 
Hawana lead pa kuanzia?

Huu ni ushahidi kuwa uwezo wao mdogo kwa hivyo basi wangekuwa na nia ya dhati ya kutendea haki hawa wahanga basi wangeshirikisha wenye ujuzi wa mambo ya uchunguzi wa kimataifa, wenye uzoefu zaidi yao, vifaa zaidi yao na uwezo zaidi yao.

Tanzania kuomba msaada wachunguzi wa nje siyo jambo geni, Tumewahi kuomba wachunguzi wa kimataifa kwenda kuchunguza mauaji ya mapadri huko Zanzibar na ripoti ipo kwa wakubwa
It's true na sio tuu kwa mapadri wa Zanzibar, hata BOT ilipoungua tuliomba msaada Scotland Yard. Hata Kenya mauaji ya Robert Ouko, waliomba msaada.

Kwa vile tayari tumeisha jitamba tuna jeshi la polisi mahiri lenye uwezo wa kufanya kila kitu, hivyo kuomba msaada wanaona aibu!.

Hili pia niliisha kulizungumzia

P
 
Mwanadamu akifika 80yr ndo kumbukumbu zote za nyuma umuijia hivo ni kutambua yote ya nyuma ni bure kuukimbiza upepo hapo ndipo ujutia wakati huo mlango Wa toba ushafungwa
 
Ni wazi kuwa matukio ya namna hiyo ni Modus Operandi ya CHADEMA...rejea video ya Lwakatare na Ludovic kuhusu mpango mkakati wa kupaka matope serikali kupitia utekaji.
Kuna utekaji wowote tena baada ya kapilimba kutumbuliwa?
 
Ni wazi kuwa matukio ya namna hiyo ni Modus Operandi ya CHADEMA...rejea video ya Lwakatare na Ludovic kuhusu mpango mkakati wa kupaka matope serikali kupitia utekaji.
Kesi yake na hiyo video unakumbuka ilivyoisha?
Unapoirejea hiyo video tuambie Rwakatare alifungwa miaka mingapi?
 
Leo mada hii imekuja bila ya kuwepo "Anniversary" wala nini - kulikoni?

Hakika, kupotea kwa Kijana Saa Nane, hata watake asahaulike, hilo halitatokea.

Itabidi tu siku moja watu wajibu maswali magumu.

Ushahidi wa kutosha upo.
Ni heri umnunue mtu atanyamaza ukimpoteza sauti yake italia milele kama sauti za.
Dikteta Abacha vs Kensarowia
Dikteta Moi vs Robert Ouko
Dikteta Iddi amin vs Dr Kiwanuka
Dikteta Mobutu vs Lumumba
Dikteta Mugabe vs Tsvangirai
Dikteta Menguist vs Haile selasie
Dikteta Kamuzu banda vs David Chiwanga
Blaise compaore vs Thomas Sankara.
Mbele ya haki hakuna madaraja tunasima sawa vyeo twaviacha duniani.
 
Nauliza swali hili very technically

Niko Tiyari niendelee kukaa uhamishoni huku lakin na on a waandishi wa habari na watu wanaopaswa kuuliza ni waoga kupitiliza

Saa Nane kwa Maneno yake Mwenyewe alisema

"Nimetumiwa ujumbe baada ya kukosoa elimu ya mtu mkubwa na nikaambiwa andika Ben Saanane andika Lakin ipo siku utajikuta mwenyewe na chatu"

Hii uwa inanifikirisha ni ama watu walimtaim president wakafanya uhuni wa kumpoteza SAA nane baada ya kuhoji PHD wakampoteza ionekane Suspect ni yule alozungumziwa?

Yaan watengeneze mazingira kama walivyoyatengeneza kwa Lissu baada ya rais kusema kwamba "Tunapigana vita huyu mtu anageuka kupiga front, huyo ndo anauwawa"

Banda ya napo Risasi

Nauliza Ipo siku Raisi atawajibika kwa kupotea kwa Saa Nane, ama kwenye Taasisi au kwenye kuyakili makosa ya uongozi wake?

Britannica
Chadema wanahusika. Vile vile wafuatilie kwa nini alikimbia India, kuna tetesi aliua kule.
 
Mnategemea wangefanya nini zaidi ya kumshukuru Mungu na kukubali yaishe tuu?
Yaani umuue mwanangu kisa kuhoji Phd feki yako halafu unategemea yaishe? Kwangu siwezi kukubali yaishe nakusubiri tu Ukulu uishe then nikufumue ubongo tu kama mbwai mbwai.
 
Eti kijana mvuta bangi anahoji PHD ya mkuu wa nchi?? Anahoji kama nani? Yeye ndo mamlaka iliyomtunuku hiyo PHD? Vijana bangi zinawasumbua!
Kielimu Ben saanane mkusanye ukoo wenu wote hamumpati kiakili ,kwanza Ben form iv alipiga A tisa na form six akapiga Div One ya Point 3,Ben ameuliwa wakati akifanya masomo ya Phd,,,,,Hakutaka kupata Degree feki ya maganda ya korosho na kutu yeye alifanya phd ya ukweli,Mkuu wa nchi gani hana staha? Kwanini aliwatukana watoto wa watu kwamba ni vilaza? Mbona mwanae kapata div 4 na cha kushangaza eti yupo UDom sijui kapitapitaje? Yaani ukoo wa hawa watu wanapenda sana "FOJIFOJI NANGAI".
 
Ujinga kuongelea jambo lilelile miaka nenda miaka rudi. Ni wajinga pekee wanaobakia kwenye tukio lilelile . Ni wajinga pekee wanaobakia kwenye msiba miaka nenda miaka rudii.
Utaomboleza misiba mingapi? Kama huyu unayeomboleza miaka 4?
Kamuue Mama yako kwanza halafu waite watu watakao kuja kumboleza msibaba wa mama yako wajinga.
 
Hawana lead ya pa kuanzia!, ndio maana hata uchunguzi wa shambulizi la Lissu bado haujaanza kwasababu wanamsubiri Lissu na dereva wake, wawahoji ndipo waanze uchunguzi.
P
Hahahahaa Paskali mie huwa nakuelewa sana,wewe ukiona matukio makubwa yanayoraise hoja nzito halafu hakuna kinachoendelea serikalini wewe endelea kunywa chai tu na kufanya kazi zako,,,,,Chadema wangekuwa wanahusika kumpoteza Ben yaani isingepita siku mbili kina mbowe wangekuwa mbele ya pilato,hao hao kina mbowe wanaosema kwamba ni inside job waliomba serikali ilete scotland yard waje kufanya uchunguzi lakini serikali ya awamu ya 5 ikakataa....Inatia hasira sana....Paskali wewe una watoto ebu vaa viatu vya wazazi wa Ben kisha toa maoni yako kama wewe ndio mzazi wa BEN.
 
Mkapa kaandika kwamba CCM ilitumia hela za EPA kwenye uchaguzi.

Hii ni confession.

Kuna mtu yeyote anayemshitaki?

Inatakiwa afikishwe mahakamani na akikutwa na hatia akae lupango.
 
Walipewa mil 130, wanawaangalia tu mnavyojifanya mna uchungu kuliko wao, we ushawai kuwasikia popote wakiomba msaada wa vyombo vya dola kuhusu mtoto wao au kuulizia imefikia wapi,
AIseee umpoteza Ben bado nina hasira sana nao!!! Naomba kwa mungu atende miujiza kwa waliotia mkono kumpoteza Ben walipe gharama ya uhai wake tumeona kwa waliotimia mkono kwa lissu wengi wameshapendwa zaidi na wengine wanaugulia na magonjwa sugu,wengine uzazi hawana wanategemea booster za china.
 
Ni heri umnunue mtu atanyamaza ukimpoteza sauti yake italia milele kama sauti za.
Dikteta Abacha vs Kensarowia
Dikteta Moi vs Robert Ouko
Dikteta Iddi amin vs Dr Kiwanuka
Dikteta Mobutu vs Lumumba
Dikteta Mugabe vs Tsvangirai
Dikteta Menguist vs Haile selasie
Dikteta Kamuzu banda vs David Chiwanga
Blaise compaore vs Thomas Sankara.
Mbele ya haki hakuna madaraja tunasima sawa vyeo twaviacha duniani.
Sure, Dikteta Freeman Mbowe VS Chacha Wangwe.
 
Back
Top Bottom