Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swali ni, utaratibu ni upi? Anatakiwa kuwa nayo au si lazima? Na Je Karume alifuatisha utaratibu au hakufuatisha?
Bongo na Afrika watu wengi tu hawafuati taratibu. So haitanishangaza kama hakufuata taratibu zozote zile maana kila kukicha taratatibu zinavunjwa. Who the hell cares?
Hii sheria ya kuwa mgombea urais lazima awe na degree ni ya katiba ya CCM au katiba ya Jamhuri?
JF cares
awe nayo ili iweje?
Hivi Mkuu Dunia ya leo huoni umuhimu wa mtu kuwa na Degree! Hasa akiwa ni kiongozi wa nchi! Lakini sawa tu Mtindiowa Ubongo.
Kamba..i mean kwamba wikipedia haioneshi kuwa ana degree si msingi wa kusema kuwa hana degree. Source yako ya info si absolute information to us, na credibility yake sio ya kihivyo.
BTW, last time i checked a certain thread in JF, Karume alikuwa akisoma Open Univ sijui kama ameshahitimu.
Nadhani hawaja update hizo record zao. Huyu jamaa si ni dokta😀? Huwa anakuwa referred kama Dr Amani Abeid Karume.
Hivi rahisi (oops... rais) wa Zanzibar hashurutishwi kuwa na degree ya Chuo Kikuu? Karume anayo?
Soo?Umeshindwa kuelewa nini nimemaanisha kwa kusema "Wikipedia haionyeshi kwamba ana degree" nimeanzisha uchunguzi, nimetoa rekodi zake zilizo public kwa kadiri nilivyoweza kuzipata, hakuna degree.
Kwa hiyo kwa kuwa nimesema wikipedia is not authoratative, then i have to produce my own source..what kind of thinking is this?Wikipedia sio authoritative source, tupe iliyo authoritative inayo settle hili swala.
Ok, hata kama sieleweki, sioni ni wapi umuhimu wa degree unaweza kuhusiana na kuwa degree..labda unaona mafungamano, mimi nasikitika siyaoni.Halafu hueleweki, mara degree siyo muhimu and then at the same time unabisha kwamba hana degree.
Utaratibu wa CCM kumpata rais si lazima awe na degree? Je rais wa Zanzibar naye ni lazima? Kama si lazima why the double standard?
Karume hana degree, kama kuna mtu anajua kasoma wapi atuwekee authoritative source hapa.
I will be the first to say, and actually I have said, that degree/ formal education does not go hand in hand with leadership, one only has to look at the macabre political demise of Thabo Mbeki, that most intellectual of the modern African presidents who was once hailed as the personification of an African Renaissance, but his intellectuallism and dabbling into pseudoscience was pivotal in his undoing.So far from imposing what can so easily be characterised as unconstitutional elitism, I am very aware of the implication of shutting out a good segment of the population with talent but not the fortune of having gone through the formalities of a degree.Far from it I am holding CCM responsible to adhere to it's own standards.
Karume amepataje kuwa rais bila degree wakati chama chake hakiruhusu mgombea urais asiye degree? Kuna mchezo ulitembea ku force king hapa?