Je, Rais wa Zanzibar si lazima awe na degree?

Je, Rais wa Zanzibar si lazima awe na degree?

calm down man/lady this is not ligi ya mbuzi, natumia haki yangu

Yaani watu kujadili tu ka-avatar kako unakuwa hysterical kiasi hiki ..lol..Pengine kuna kitu cha ziada hapa kimejificha si bure..hebu labda utuambie.
 
Hao maraisi wa Tanzania waliokuwa na degree sijawaona walicho fanya cha maana.
 
Back
Top Bottom