π Siasa na elimu ni vitu tofouti.....unaweza kuwa na elimu lakini hujui siasa....na unaweza kuwa huna elimu lakini una siasa-na siasa ndo inaongoza nchi si elimu....mana unaweza kuwa na elimu lakini hujui kuongea na nchi jirani mara vita-unaharibu kila kitu kwenye nchi.......kumbuka kuongoza nchi lazima uwe unajua wapi pakuwanata wananchi........ππ
π Soma sigumu ni wewe mgumu kufahamu....kwani wewe akilini kwako mtu anachaguliwa kuwa Raisi kwa elimu yake? Au kwa sababu watu wamempenda anavyo wapiga uongo?!!π
Swali siyo whether anayo au hana, na mimi nitakuwa mtu wa kwanza ku disassociate leadership na formal education in general, ingawa formal education inafungua macho sana na under constant conditions mtu mwenye formal education anakuwa na upeo mkubwa kuliko asiye na formal education, the stress is "under constant condition".
Swali ni, utaratibu ni upi? Anatakiwa kuwa nayo au si lazima? Na Je Karume alifuatisha utaratibu au hakufuatisha?
I will be the first to say, and actually I have said, that degree/ formal education does not go hand in hand with leadership, one only has to look at the macabre political demise of Thabo Mbeki, that most intellectual of the modern African presidents who was once hailed as the personification of an African Renaissance, but his intellectuallism and dabbling into pseudoscience was pivotal in his undoing.So far from imposing what can so easily be characterised as unconstitutional elitism, I am very aware of the implication of shutting out a good segment of the population with talent but not the fortune of having gone through the formalities of a degree.Far from it I am holding CCM responsible to adhere to it's own standards.
Karume amepataje kuwa rais bila degree wakati chama chake hakiruhusu mgombea urais asiye degree? Kuna mchezo ulitembea ku force king hapa?
Soo?
Kwa hiyo kwa kuwa nimesema wikipedia is not authoratative, then i have to produce my own source..what kind of thinking is this?
Ok, hata kama sieleweki, sioni ni wapi umuhimu wa degree unaweza kuhusiana na kuwa degree..labda unaona mafungamano, mimi nasikitika siyaoni.
Ok, maswali ya kisisiem nadhani wanachama wapo watakujibu...
Hujui tofauti kati ya "Wikipedia haionyeshi kama ana degree" na declaration ya kusema "hana degree". Unachukulia hiyo kauli, ambayo ni changamoto kwa yeyote mwenye records za degree yake, kuwa ni kauli ya kusema hana degree.
This is Aristotlelian logic coupled with non-Euclidean constructs in a Minkowski model of the Kaluza-Klein space-time continuum, I understand why you understand I dont understand while I understand you don't understand.
Najua huoni mafungamano,kitu pekee unachoona ni maluweluwe. Nimeeleza kitu ninachotafuta ni process ni ipi na je ilifuatwa, haya mambo ya detachment ya degree vs leadership nimeelezea sana hapa.
Hivi rahisi (oops... rais) wa Zanzibar hashurutishwi kuwa na degree ya Chuo Kikuu? Karume anayo?
Degree haiwezi kuwa kipimo cha kupewa Urais hata siku moja. Haitoshi hiyo. Hivi wewe huoni kuna watu wana degree na mambo yao ni ovyo tu? Kwani humu katika JF hakuna watu wenye degree -niambie hivi kweli hawa wanafaa kuopewa Urais?Unahaitajika uwe na IQ ya kutoelewa ili upewe urais .
Degree haiwezi kuwa kipimo cha kupewa Urais hata siku moja. Haitoshi hiyo. Hivi wewe huoni kuna watu wana degree na mambo yao ni ovyo tu? Kwani humu katika JF hakuna watu wenye degree -niambie hivi kweli hawa wanafaa kuopewa Urais?
teh teh teh..its very clear unatafuta ligi..actually nikukumbushe kuwa ni wewe uliyetoa hypothesis na kutoa weak evidence ..wikipedia, sasa naona unaanza sarakasi..lakini i have no time for ligi ya kombe la mbuzi..
Degree haiwezi kuwa kipimo cha kupewa Urais hata siku moja. Haitoshi hiyo. Hivi wewe huoni kuna watu wana degree na mambo yao ni ovyo tu? Kwani humu katika JF hakuna watu wenye degree -niambie hivi kweli hawa wanafaa kuopewa Urais?
Watu naona mnashindwa kuelewa swali na mna zunguusha hii mada mpaka maana ya swali lenyewe lililo ulizwa lina potea. Bluray kauliza ni je kama utaratibu wa kupatikana raisi wa Muungano kwa mujibu wa CCM ni lazima mgombea awe na degree ni hivyo hivyo kwa kupata mgombea wao urais kwa Zanzibar? Mnaanza kuzungusha mambo kwa kusema oh elimu siyo lazima kwenye uraisi, kwani nani kabisha? The question is kuna double standards kwenye sifa za mgombea uraisi Muungano na Zanzibar? Kama mtu unajua kuwa Karume alikua na degree kabla ya kuwa raisi wa Zanzibar tuambie then itaonyesha kuwa hakuna double standards. Bluray keeps saying time & time again kuwa hajasemaelimu ni lazima kwa uraisi watu bado mna ng'ang'ania the same issue kuonyesha hamna jibu. Sawa elimu siyo lazima ila utaratibu wa degree si wameji wekea wenyewe CCM? Kama wameuweka hivyo basi wana fuatisha kigezo hicho hicho kwa uraisi wa Muungano na Zanzibar? Au kuna vigezo tofauti vina tumika? Jibuni swali siyo kucreate hoja ambazo hazipo.
Swali siyo whether anayo au hana, na mimi nitakuwa mtu wa kwanza ku disassociate leadership na formal education in general, ingawa formal education inafungua macho sana na under constant conditions mtu mwenye formal education anakuwa na upeo mkubwa kuliko asiye na formal education, the stress is "under constant condition".
Swali ni, utaratibu ni upi? Anatakiwa kuwa nayo au si lazima? Na Je Karume alifuatisha utaratibu au hakufuatisha?
Najua sifa za rais wa Tanzania ni lazima awe na degree, kwa Zanzibar ni hivyo au sivyo?
Wikipedia hawaonyeshi kamba ana degree
Mkuu wapi umetoa kipengele cha kuwa Rais wa Tanzania lazima awe na degree? Naomba nukuu ulipotoa, au ukisisitiza unajua, umejuaje?
Amani Abeid Karume - Wikipedia, the free encyclopedia
Ni wazi huelewi maana nzima ya concept ya kutumia wikipedia kama point ya kuanzia upelelezi vs kutumia wikipedia kama ushahidi, hata baada ya kusomeshwa na kupelekwa summer school.
teh teh teh..its very clear unatafuta ligi..actually nikukumbushe kuwa ni wewe uliyetoa hypothesis na kutoa weak evidence ..wikipedia, sasa naona unaanza sarakasi..lakini i have no time for ligi ya kombe la mbuzi..
lakini naona una ligi na avatar yangu, mbona wewe mbinafsi namna hiyo?