Je, Rais wa Zanzibar si lazima awe na degree?

calm down man/lady this is not ligi ya mbuzi, natumia haki yangu

Yaani watu kujadili tu ka-avatar kako unakuwa hysterical kiasi hiki ..lol..Pengine kuna kitu cha ziada hapa kimejificha si bure..hebu labda utuambie.
 
Yaani watu kujadili tu ka-avatar kako unakuwa hysterical kiasi ..lol..Pengine kuna kitu cha ziada hapa kimejificha si bure..hebu labda utuambie.

nyinyi ndio mnajipendekeza pendekeza kwa Mods, mnalialia, grow up lady
 
Hao maraisi wa Tanzania waliokuwa na degree sijawaona walicho fanya cha maana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…