gigabyte
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 5,717
- 6,465
kabebwaje sasa hapo wakati timu zilitumwa mzunguko wa kwanza wakiwa na sifa.Hizo timu zingine zilipaswa kupinga huo utaratibu toka mwanzo.sasa kama walikaa kimya kuja kulalamika sasa baada yakupata nafasi nikutaka kuleta tu mgogoro.Aly Ahly hajabebwa kwasababu wanaopanga ratiba ni chama cha soka nawao ndio waliopendekeza huo utaratibu timu washiriki wa ligi wakaridhia.Wale jamaa nasikia walipeleka msimamo wa first round ya league na PYRAMIDS wameenda FIFA kudai haki yao maana al ahly yupo Caf champions league wakati PYRAMIDS yupo caf confederation wahuni sana jamaa wa Egypt wanaibeba al ahly wazi wazi.