kabebwaje sasa hapo wakati timu zilitumwa mzunguko wa kwanza wakiwa na sifa.Hizo timu zingine zilipaswa kupinga huo utaratibu toka mwanzo.sasa kama walikaa kimya kuja kulalamika sasa baada yakupata nafasi nikutaka kuleta tu mgogoro.Aly Ahly hajabebwa kwasababu wanaopanga ratiba ni chama cha soka nawao ndio waliopendekeza huo utaratibu timu washiriki wa ligi wakaridhia.