mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Inapendeza...Ronaldo tayari amefanikiwa kuuvunja mwiko wa kutokuwavunga wajerumani. Tayari ametikisa nyavu!! Nawahurumia wasiompenda R7!! Porgugal 1 Ujerumani 0.
Sioo kweliiiPortugal wamejifunga wenyewe magoli mawili na aliyejifunga magoli yote mawili ni huyohuyo!
Wamejifunga magoli mawili, ila wamejifunga watu wawili tofauti!Sioo kweliii
Ger 4 Porgugal 2Walio na updates watuwekee na sisi tulioko maeneo hatarishi tuone jinsi mjerumani anavyotaabika...