yawezekana keshampenda kaka/dada yakeHawawezi kuoana,,ina maana wazazi wao wageuke kuwa wakwe zao.....hiii hapana kabisa kabisa...hao ni dada na kaka mpaka kufa......
Imekuwaje umeuliza swali kama hili??? Nini nyuma ya pazia ya hili swali???
Mume ana mtoto wa kiume na mke ana mtoto wa kike (au kinyume chake), wanaoana. Katika mazingira hayo watoto wakikua na kupendana wanaweza kuruhusiwa kuoana? Kwa hali ya kawaida ni lazima watafundishwa sana kuheshimiana kama kaka na dada lkn wanaweza pia kukiuka. Je waweza kuruhusiwa kuoana?
but wengi wanabanjuana....
siku hizi hata ndugu wa damu fashen kubanjuana.
Siku hizi hata ndugu wa damu fashen kubanjuana.
duh! acha uongo au nipe mfano hai hapa
duh! acha uongo au nipe mfano hai hapa
Siku hizi hata ndugu wa damu fashen kubanjuana.
According to a study by Floyd Martinson, 10-15% of college students had sexual experiences with a brother or sister. Source(s):
http://www.child-abuse-effects.com/inces…
brother sister incest
Posted in the brother sister incest - Topix
Is Incest Really This Common?
Posted in the: Is Incest Really This Common? - Topix
Kama hujatosheka, sema.
Mume ana mtoto wa kiume na mke ana mtoto wa kike (au kinyume chake), wanaoana. Katika mazingira hayo watoto wakikua na kupendana wanaweza kuruhusiwa kuoana? Kwa hali ya kawaida ni lazima watafundishwa sana kuheshimiana kama kaka na dada lkn wanaweza pia kukiuka. Je waweza kuruhusiwa kuoana?
Mmmhhh
wanaweza
lakini is not acceptable
This is incest..
In my opinion
Ndugu si lazima
Mtoke tumbo moja
Hawa wawili wazazi
Wao wamesha oana
tayari wao ni ndugu
Na kama wanaishi nyumba..
Moja automatic wamesha kuwa kaka na dada
Ruksa kuoana na kuna CASES nyingi tu kama hizo... Hawa siyo ndugu "wa damu"...