Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,678
- 5,166
mda gani kachukua kwenye hii operation?Iran alipigana ili kujilinda baada ya kushambuliwa hivyo hakuvitaka vita, Russia yupo anapigana kwa kukamilisha malengo yake
Kumbuka ni vita mbili tofauti,,hivyo haviwezi kuwa sawaVita ya IRAN imechukua wiki moja kuisha kutokana na mashambulizi makali ya Iran Marekani ameona aingilie kati kuomba Casefire why not RussiaUjraine War?Kwa upande Russia ni miaka kadhaa mpaka sasa Operesheni haijaisha kitu ambacho kinatia shaka.
we measure weapons Quality(ubora) nakubaliana na wewe kuwa ni vita mbili tofauti but inaonekana Russia nguvu yake ya kijeshi ni ndogo na kumbuka hakuna mtu anayependa vita isiishe mapema.Kumbuka ni vita mbili tofauti,,hivyo haviwezi kuwa sawa
kwani Marrkani,Ulaya haimsapoti velensi?Iran amepigana na mtoto mpendwa wa USA wakati Russia anapigana na mtoto wa mtaani hana wa kumtetea. Russia pia angekuwa anapigana na Israel US angeshaingilia serious na kusuruhisha mgogoro.
Hii sio kuhusu ubavu wa Russia ni swal la dictating.Vita ya IRAN imechukua wiki moja kuisha kutokana na mashambulizi makali ya Iran Marekani ameona aingilie kati kuomba Casefire why not RussiaUjraine War?Kwa upande Russia ni miaka kadhaa mpaka sasa Operesheni haijaisha kitu ambacho kinatia shaka.
Nimesikitika sana iran kusimamisha vita, maghorofa wa Israel yalivyokuwa yanakatika nilikua nanenepa kinoumaJibu ni kwamba uharibifu na madhara yaliofanywa na Iran nchini Israel kwa muda wa siku 12 ni makubwa mno, kuliko uharibifu na madhara yaliofanywa na Russia nchini Ukraine kwa zaidi ya miaka miwili.
Kama hii vita ingepiganwa japo mwezi mmoja. Nakuhakikishia kuwa huko Israel kusingekuwa na jengo hata moja lililosimama. Kila kitu kingekuwa chini kama jangwa la Muhimbili to Magomeni.
Marekani haingii Urisi sababu ya kuogopa nyuklia tu,lkn Russia ilibidi itoe mkong'oto wa kutosha vita ingekuwa vimeisha.Hii sio kuhusu ubavu wa Russia ni swal la dictating.
Marekani Hana Cha kumtishia mrusi. Mrusi atamaliza vita akitaka yeye, labda Ukraine ikatae tu lakini Russia us a super power, it cannot be in intimidated
Hamkumpa Nafasi ya kutetea hoja yake.Mleta mada ni moja ya wanaomshauri Samia, Tanzania ina uchumi mkubwa kuliko Marekani
Yeesu na maria. Hii ni ngumu kumesa msee, labda kama makombora yalibeba na Wana.
Hahaha hata kile kipigo walichopigwa na Iran kwa siku 12 tu si haba mkuu. Itachukua miaka zaidi ya 30 Netanyahu kuijenga tena miji ya Tel Aviv iliyoporomoshwa kwa siku 12 tu.Nimesikitika sana iran kusimamisha vita, maghorofa wa Israel yalivyokuwa yanakatika nilikua nanenepa kinouma