mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,615
- 23,751
Yani ni kukosa eshima kumfananisha Iran na Mrusi. Yani ukitaka kujua warusi wanaleta balance of power hapa Duniani basi angalia kule Syria ndege za Israel zilivyokuwa zinashambulia kutokea mbali wala uwezi kuta zinaingia ndani ya Syria, ni kwa sababu ya mifumo ya kirusi japo walikuwa na mifumo ya muda ila imefanyiwa update.Fafanua kwanini unasema nguvu ya kijeshi ya Russia ni ndogo na kwa kigezo gani?
IRAN ndio taifa teule og wengine wa mchongo,
Lengo la Vita vya Iran ulikuwa sio kuiteka au kuikalia Iran. Lengo ilikuwa kuwaonya Iran kwamba wakiendelea na mpango wao wa kutengeneza silaha za nyukulia na kufadhiri magaidi, Israel ina uwezo wa kuwafikia na kuwabonda kwao kama ilivyowabonda Hezbollah au Hamas. Maana mashambulizi ya mara ya kwanza yaliyofanywa na Iran kwa Israel wakati wanawatetea Hamas ilionekana kama Iran imekuwa super power haiwezi kuguswa. Ndio maana vita imeisha mapema Israel ameshamaliza somo lake na Iran anayeamini amechokozwa hawezi kuendelea kumwazibu anayeamini amemchokoza kwa sababu uwezo huo hana.Vita ya IRAN imechukua wiki moja kuisha kutokana na mashambulizi makali ya Iran Marekani ameona aingilie kati kuomba Casefire why not RussiaUjraine War?Kwa upande Russia ni miaka kadhaa mpaka sasa Operesheni haijaisha kitu ambacho kinatia shaka.
ezeikel ni boya hilo , watu walioshiba waliandika huku wakijinywia mbege. MWANDISHI HAJULIKANIAccording to Ezekiel 38, in the end Russia will finally join in the war with Israel. Let's give it about 5years.
Hapana sisi Zanzibar sio ndugu zetu kabsa. Nilisoma Leeds university Uingereza na jamaa fulani wawili Wazanzibarl hawakutaka kabsa kujitambulisha kama Watanzania bali walitaka wajulikane kuwa ni Wazanzibari.
Kifupi tuwakataeni kabsa Abdul na mama yake wala hawatakiwi hata kumiliki ardhi huku bara
Mbona kuna utofauti kabisa irani imefanya mashambulio imeua askari wangapi wa Israel na Israel imeua askari wangapi wa irani ?...kule ukrain wanakufa malaki ya askari kwa mwaka na maelfu ya siraha yanateketea ...maelfu ya vifaru ,mizinga nk...siraha zilizo tumika ukrain zimefanya hadi maghara ya NATO kukaukaVita ya IRAN imechukua wiki moja kuisha kutokana na mashambulizi makali ya Iran Marekani ameona aingilie kati kuomba Casefire why not RussiaUjraine War?Kwa upande Russia ni miaka kadhaa mpaka sasa Operesheni haijaisha kitu ambacho kinatia shaka.Mbona
sasa hayo maelezo na malengo yakoL
Lengo la Vita vya Iran ulikuwa sio kuiteka au kuikalia Iran. Lengo ilikuwa kuwaonya Iran kwamba wakiendelea na mpango wao wa kutengeneza silaha za nyukulia na kufadhiri magaidi, Israel ina uwezo wa kuwafikia na kuwabonda kwao kama ilivyowabonda Hezbollah au Hamas. Maana mashambulizi ya mara ya kwanza yaliyofanywa na Iran kwa Israel wakati wanawatetea Hamas ilionekana kama Iran imekuwa super power haiwezi kuguswa. Ndio maana vita imeisha mapema Israel ameshamaliza somo lake na Iran anayeamini amechokozwa hawezi kuendelea kumwazibu anayeamini amemchokoza kwa sababu uwezo huo hana.
sikatai ila nahoji tu,sisi wote ni pro BRICSNaona timu Irani mmeanza kamdomo, sisi timu Urusi tukiamua ni tunaisimamisha dunia ndani ya masaa machache. 🐼
Urusi ana mabomu ya nyuklia akiamua kuyatumia watu wengi sana wataangamia wanatumia tu busarasikatai ila nahoji tu,sisi wote ni pro BRICS
Vita ya IRAN imechukua wiki moja kuisha kutokana na mashambulizi makali ya Iran Marekani ameona aingilie kati kuomba Casefire why not RussiaUjraine War?Kwa upande Russia ni miaka kadhaa mpaka sasa Operesheni haijaisha kitu ambacho kinatia shaka.
Kwamba mauaji yafanywe na Karume na wenzie lawama apewe Nyerere!? Udini utakuua ustaadhi. Mapinduzi Zenji yalifanywa na nani? Why lawama umtupie Nyerere?NDIYO MATUNDA YA KUWAVAMIA WATU , HATA MIMI SIWEZI KUJIITA MTANZANIA WAKATI WAZAZI WANGU WALIULIWA NA nYERERE KATIKA JITIHADA ZAKE ZA KUICHUKUWA ZANZIBAR KWA NGUVU. yAANI KWA SIKU MOJA NYRERE ALIUWA WATU ZAIDI YA ELFU KUMI , UNAFIKIRI KUNA MZANZIBARI ANAIPENDA TANGANYIKA ? mawe...
Kwamba mauaji yafanywe na Karume na wenzie lawama apewe Nyerere!? Udini utakuua ustaadhi. Mapinduzi Zenji yalifanywa na nani? Why lawama umtupie Nyerere?
Wewe unaijuwa Russia au unaisikia kwenye Radio?? Russia ikihamua kutumia nguvu zake kikamirifu si Zelensky au Ukraine yenyewe itasalimika.Vita ya IRAN imechukua wiki moja kuisha kutokana na mashambulizi makali ya Iran Marekani ameona aingilie kati kuomba Casefire why not RussiaUjraine War?Kwa upande Russia ni miaka kadhaa mpaka sasa Operesheni haijaisha kitu ambacho kinatia shaka.
MABIBI NA MABWANA, MWENYE MACHO HAAMBIWI TAZAMA MWENYE MASIKIO HAAMBIWI SIKIA! ! !ezeikel ni boya hilo , watu walioshiba waliandika huku wakijinywia mbege. MWANDISHI HAJULIKANI
Hapo umetoa maelezo kimihemko na kishabiki tena sana.Yani ni kukosa eshima kumfananisha Iran na Mrusi. Yani ukitaka kujua warusi wanaleta balance of power hapa Duniani basi angalia kule Syria ndege za Israel zilivyokuwa zinashambulia kutokea mbali wala uwezi kuta zinaingia ndani ya Syria, ni kwa sababu ya mifumo ya kirusi japo walikuwa na mifumo ya muda ila imefanyiwa update.
Iran walitaka kuziwa mfumo S-300 na s-400 ila wakajifanya wajanja wakanunua baadhi wakaenda kufanyia utafiti kisha wakatengeneza za kwao zinazofanana na zile za Warusi.
Warusi wakasema aina shida sisi sio milima ipo siku maji na mafuta vitajitenga.na kweli mifumo yao imeonekana kuwa walipoteza pesa na muda. Sasa ivi wanataka kurudi tena kwa Mrusi na kwenda kwa mchina kununua ndege.
Kupambana na Israel ni lazima uwe na Anti air missile za kutosha pia fighter aircraft za maana ili ndege zikutane angani ila kama zikitokea zimepenya basi zinakutana na SAM. Hapa lazima uwe na Mig 31, mig 35, SU-35, Su-57.
Mfano mzuri kule F-16 inavyoshindwa kufua dafu Ukraine
Acha kupotosha watu wewe.L
Lengo la Vita vya Iran ulikuwa sio kuiteka au kuikalia Iran. Lengo ilikuwa kuwaonya Iran kwamba wakiendelea na mpango wao wa kutengeneza silaha za nyukulia na kufadhiri magaidi, Israel ina uwezo wa kuwafikia na kuwabonda kwao kama ilivyowabonda Hezbollah au Hamas. Maana mashambulizi ya mara ya kwanza yaliyofanywa na Iran kwa Israel wakati wanawatetea Hamas ilionekana kama Iran imekuwa super power haiwezi kuguswa. Ndio maana vita imeisha mapema Israel ameshamaliza somo lake na Iran anayeamini amechokozwa hawezi kuendelea kumwazibu anayeamini amemchokoza kwa sababu uwezo huo hana.
Most Islamic nations, including, Iran, Turkey, will participate, sad thing Russia and its allies will loose the battle severelyAccording to Ezekiel 38, in the end Russia will finally join in the war with Israel. Let's give it about 5years.