Mifano yako wala haiendani na hali halisi inayotokea kati ya Urusi na China.Ujue hata wewe kama ulikuwa na mteja wako anachukua kilo 2 alafu yupo mwingine anachukua nusu, yule wa kilo 2 akasusa kuchukua kilo 2 lakini yule wa nusu alivyosikia mwenzake kasusa yeye akakwambia yupo tayari kuongeza kiasi kingine. Je! utashindwa kufanya nae biashara kubwa zaidi
S300 zilikua functional ama operational pale Khomeini airport na sehemu zingine kama tatu ndani ya Iran.S-300 zilienda kwa ajili ya mafunzo ili mzigo utakapokuwa tayari basi wasipate shida kutumia.ila cha ajabu Iran alivunja mkataba akasema mzigo umechelewa kufia kumbe ashatengeneza za kwake.
Majengo yanajengwa ndani ya mwezi israel inakuwa mpya.Lakini na Israel katiwa ulemavu wa kutosha
Wenzako wamekwambia wamerudishwa miaka 30 nyuma wewe unaleta porojo za kwenye gongo?Majengo yanajengwa ndani ya mwezi israel inakuwa mpya.
Hiyo ndiyo inaitwa one for the team.
Kombora mujarab
Na ww ukaaminiWenzako wamekwambia wamerudishwa miaka 30 nyuma wewe unaleta porojo za kwenye gongo?
😁😁😁Mleta mada ni moja ya wanaomshauri Samia, Tanzania ina uchumi mkubwa kuliko Marekani
Kwaiyo ulitaka nikuamini wewe mlevi wa chibuku?Na ww ukaamini
Kwani mim nimekwambiaje.Iran alipelekewa mifumo mi 4 tu ya S-300S300 zilikua functional ama operational pale Khomeini airport na sehemu zingine kama tatu ndani ya Iran.
Embu katizame shambulio la mwaka jana dhidi ya Iran lilivyozimwa na fananisha na la sasa.
Kwa wewe mpumbavu usieelewa propaganda za waisrael vizuri, unaweza udhani kuwa Israel imepata madhara ya majengo tu. Lakini kwa watu wenye akili timamu kama vile mimi tumeona, na kushuhudia bila shaka madhara makubwa waliyopata waisrael kutoka kwa Iran ndo maana...We kweli kilaza. Madhara kwako ni hayo majengo sio. Ushaona maji Russia alivyoiharibu
Madrassa imewaaharibu sanaKwa wewe mpumbavu usieelewa propaganda za waisrael vizuri, unaweza udhani kuwa Israel imepata madhara ya majengo tu. Lakini kwa watu wenye akili timamu kama vile mimi tumeona, na kushuhudia bila shaka madhara makubwa waliyopata waisrael kutoka kwa Iran ndo maana...
1. Marekani akaingilia kuisadia Israel kupambana na Iran, kitu ambacho kwa Ukraine hakikufanyika maana hawakuona madhara makubwa ya kuwafanya waingilie kuisaidia nchi hiyo.
2. Akaomba vita iishe ili nchi hiyo isije kumalizwa na makombora hatari ya Iran yaliokuwa yanadondoshwa nchini humo kutokea Iran huku mifumo ya anga ya Marekani, UK, Ufaransa, Ujerumani, Jordan, Saudi Arabia na Israel yenyewe ikishindwa kuzuia chochote. Yani ilikuwa ni kama vile kuzuia maji kwa kutumia tenga.
Sasa nisiandike mengi.. hebu angalia body languages za hao viongozi wakuu wa Israel na Ukraine hapo pichani ili ujue ni nani ambae nchi yake ilipata madhara zaidi. Na usisahau kuwa kuba mmoja nchi yake ipo vitani miaka zaidi ya miwili na mungine ni week 1 tu lakini kabaki mifupa mitupu shingoni.
Pia ukitaka kujua kuwa Israel ilipigwa vibaya na Iran, zaidi ya vile Ilivyopigwa Ukraine na Russia. Sikiliza kwa makini maneno ya Trump hapo kwenye video, halaf uniambie kati ya wewe myahudi wa manyovu Kigoma, na raisi Trump wa Marekani ambae kila kinachofanyika Israel anakifahamu nani mwenye uelewa zaidi.
Kikubwa umeelewa nlichoandika, japo unaona aibu kukubali hadharani.Madrassa imewaaharibu sana
Nielewe ulivyokaririshwa ujingaKikubwa umeelewa nlichoandika, japo unaona aibu kukubali hadharani.
Majengo yanajengwa ndani ya mwezi israel inakuwa mpya.
Hiyo ndiyo inaitwa one for the team.
Kwanza unatakiwa kujua biashara ya mafuta kati ya Urusi na China imeanza muda kabla ya hata ya vita vya Ukraine ila baada ya vita biashara imeongezeka zaidi na hii kwa sababu ya Ulaya kupunguza biashara na Urusi.hakuna sehemu ambayo kuna condition za kumbeba MrusiMifano yako wala haiendani na hali halisi inayotokea kati ya Urusi na China.
Kuna favourable conditions za kibiashara ambazo China ameingia na Urusi ili kumbeba zaidi kwenye hili wakati wa vita.
Nakusihi nenda kasome zaidi ile article na kwa makini.
Kumbuka wanunuzi wakubwa wa oil and gas ya Urusi ni Germany kuliko China kabla ya 2022 vita kuanza.
We jamaa una ubishi wa kindezi sana.Kwanza unatakiwa kujua biashara ya mafuta kati ya Urusi na China imeanza muda kabla ya hata ya vita vya Ukraine ila baada ya vita biashara imeongezeka zaidi na hii kwa sababu ya Ulaya kupunguza biashara na Urusi.hakuna sehemu ambayo kuna condition za kumbeba Mrusi
Mambo hayo hapo Zanzibar tu yapo miaka mkuu. Au ulizia sodoma na gomora ilikuwa wapi ndio utajua waarabu hii michezo wanayo miaka
Tatizo lako unalazimisha vitu. hakuna habari ya kubebana kila mtu anafaidika na mwenzake, China asiponunua gesi na mafuta kwa Urusi unategemea atanunua wapi.pale wapo karibu na Urusi walichofanya wamejenga mabomba ili usafirishaji uwe rahisi.au unafikiri mafuta na gesi kila nchi inavyo ?We jamaa una ubishi wa kindezi sana.
Hakuna asiyejua kuwa biashara ya mafuta kati ya Russia na China ni ya muda mrefu kabla ya vita,ila ukweli ni kwamba Kuna gap kubwa kabla na baada ya vita.
Utake usitake CHINA AMEMBEBA RUSSIA KIBIASHARA ILI KUMUOKOA NA VIKWAZO VYA KIUCHUMI.
Rudi kasome vizuri ile article bro,kama hujaelewa sema tukutafsirie.