Tufanye umeshinda bro.Tatizo lako unalazimisha vitu. hakuna habari ya kubebana kila mtu anafaidika na mwenzake, China asiponunua gesi na mafuta kwa Urusi unategemea atanunua wapi.pale wapo karibu na Urusi walichofanya wamejenga mabomba ili usafirishaji uwe rahisi.au unafikiri mafuta na gesi kila nchi inavyo ?
Hamna tunaelekezana wala hakuna mshindiTufanye umeshinda bro.
Case closed.
leo hii trump analalamika kwamba putin hana mpango wa kumaliza vitaHii sio kuhusu ubavu wa Russia ni swal la dictating.
Marekani Hana Cha kumtishia mrusi. Mrusi atamaliza vita akitaka yeye, labda Ukraine ikatae tu lakini Russia us a super power, it cannot be in intimidated
Wewe unasema,NATO bado wanamchukulia Russia kama kitisho.Russia ilikuwa na nguvu kipindi Cha Umoja wa nchi za kisoviet, sio sasa hivi
Kakuongopea naniRussia ilikuwa na nguvu kipindi Cha Umoja wa nchi za kisoviet, sio sasa hivi
Huu ni upotoshajiMleta mada ni moja ya wanaomshauri Samia, Tanzania ina uchumi mkubwa kuliko Marekani
mbona marekani anaogopa kumpiga mazimaRussia ilikuwa na nguvu kipindi Cha Umoja wa nchi za kisoviet, sio sasa hivi
Ana stockpile kubwa sana za nuclear weapons kutokea Soviet erambona marekani anaogopa kumpiga mazima
hata baada ya vikwazo kwa iran walihisi hana nguvu
muulize israel kapewa vyombo hadi kaomba poo
Kipindi hicho Ina superpower status sio sasaKakuongopea nani
Mkuu NATO agenda kubwa wakikutana ni kuijadili Urusi.Kipindi hicho Ina superpower status sio sasa
Super power status ndo inapigana?Kipindi hicho Ina superpower status sio sasa
Kama nilivyosema baada ya Soviet union ku collapse Russia ndiye aliye inherit a large stockpile of USSR nuclear weapons, so hata NATO wanaogopa pale ambapo Putin ataamua kutumia hayo makombora itakuwa ni disasterMkuu NATO agenda kubwa wakikutana ni kuijadili Urusi.
Bado ana nguvu zile zile aisee.
Inaamua mambo, kwasababu ku achieve hiyo status si jambo dogo, means you are well developed in all areas socially, politically, economically, scientifically, militarily, technologically than all other nationsSuper power status ndo inapigana?
Sasa hivi balance of power zimegawanyika.Inaamua mambo, kwasababu ku achieve hiyo status si jambo dogo, means you are well developed in all areas socially, politically, economically, scientifically, militarily, technologically than all other nations
Kumbe yule Nabii wenu Tito ametokea Zanzibar ?? Hivi lile kanisa la mashoga la kipentekoste kule Mbeya kumbe ni Zanzibar ??Mambo hayo hapo Zanzibar tu yapo miaka mkuu. Au ulizia sodoma na gomora ilikuwa wapi ndio utajua waarabu hii michezo wanayo miaka
Ile vita isingeweza kua ya muda mrefu, Israeli hana uwezo wa kupiga vita virefu na Iran, kuna sababu kadhaa mojawapo ni udogo wa nchi ya Israeli, hana silaha za kutosha. vita ile ingechukua mwezi mmoja tu Israeli tayari ingekua imeshafutwa.Una uhakika vita imeisha kwa kufikia malengo yaliyokusudiwa au kwa usuluhishi? Hiyo vita ingeweza kuwa ya milele kama USA asingeingilia kati maana malengo ya wahusika ni makubwa na magumu. Iran ana lengo la kuifuta Israel na Israel lengo lake ni kudhohofisha utawala wa Iran na kuubadilisha kabisa! Unahisi hayo malengo yangefikiwa lini?
Kwa kukusaidia mashoga walio kimya hapo Zanzibar ni wengi kuliko hawa wanaojitangaza. Asilimia 90 ya wanawake wamefumuliwa buti na hii ni kwasababu kwa mijibu wa quran Mwanamke ni shamba na mwanaume anaruhusiwa kumwingilia atakavyo. Tena wanaume wanaruhusiwa kuyatumia matundu yote saba ya mwanamke. Mi mwanafunz mzur wa sheikh kipozeo mkuuKumbe yule Nabii wenu Tito ametokea Zanzibar ?? Hivi lile kanisa la mashoga la kipentekoste kule Mbeya kumbe ni Zanzibar ??
Ila still US ana retain superpower statusSasa hivi balance of power zimegawanyika.
Dunia ya sasa sio kama ya kipindi kile.
Unakuta taifa hili linaleta balance of power kijeshi mathalan Russia, lingine linaleta balance of power kiuchumi hususan China.
Dunia ya sasa hakuna super power wa kila kitu nooop mkuu.
Kipropaganda ila kiuhalisia ameshapoteza status ya superpower.Ila still US ana retain superpower status