Je, Ruto atakua amejiunga NATO?

Je, Ruto atakua amejiunga NATO?

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Ruto hajajiunga NATO. Rais wa Marekani, Joe Biden, alitangaza kwamba Kenya itapewa hadhi ya kuwa "mshirika mkuu asiye mwanachama wa NATO" (Major Non-NATO Ally).


View: https://vm.tiktok.com/ZMr1wacyA/

Hadhi hii inaonyesha ushirikiano wa karibu na wa kimkakati kati ya Kenya na Marekani, lakini haimanishi kuwa Kenya inajiunga na NATO.

Hii ni hatua muhimu kwa Kenya kuwa mshirika muhimu wa kimataifa na kuhusika katika masuala ya usalama, kama vile kuongoza kikosi cha kimataifa kinachopelekwa Haiti.
 
Back
Top Bottom