tpaul
JF-Expert Member
- Feb 3, 2008
- 24,225
- 22,632
Kwa kuwa serikali hii sasa imegeuka kuwa ya kijambazi, hukawii kusikia jambazi Sabaya naye karejeshwa ili aendelee na utekaji kama kawaida yake. Akishaingia tu kwenye system, watu wasiokuwa na idadi wataanza kupotezwa. Nchi ya kiqumer sana hii. Inasikitisha sana.Baada ya kumrejesha Makonda , Dr Hangaya akitetea uamuzi wake huo alisema kwamba , Makonda hakuwahi kuikosea ccm , " mligombana wenyewe kwa wenyewe huko "
Sasa kwa vile Sabaya naye hakuwahi kugombana na ccm , bali aligombana na aliowateka kwa mtutu wa bunduki , huku akiweka namba za kizushi za UN kwenye magari aliyoyatumia kwenye uharamia huo , na labda aliweka Chumvi kwenye injini za magari ya Mbowe ili kuyaharibu , Je sasa naye atalamba shavu ?
View attachment 2796909