Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
George Weah alipochukua 1995 alikuwa mzungu?Mzee balloon d o ni kwa wazungu tu
Kwa mafanikio yapi?sina maneno mengi... je unamjua huyu mnyama.??View attachment 1145638
Kwanini?Labda Ballon D'or ya Africa.
inawezekana maana VVD ana odds ya 1.8 hii ni dhahiri ana asilimia kubwa kuchukuaHiyo tuzo ni VVD.
Muda wa kuijadili hiyo tuzo utumieni kwa mengine.
Ronaldo ana 20 maana yake ni ngumu sana kuchukua.sina maneno mengi... je unamjua huyu mnyama.??View attachment 1145638
Kwa mafanikio yapi?
inawezekana maana VVD ana odds ya 1.8 hii ni dhahiri ana asilimia kubwa kuchukua
Ronaldo ana 20 maana yake ni ngumu sana kuchukua.
Salah ana 100 hawezi kuingia hata top 3
Fei toto,umecheki video ya fei toto akiimba taarabu?Wampe
Himidi mao
DaahWampe
Himidi mao
Sijaiona ntumieFei toto,umecheki video ya fei toto akiimba taarabu?