Je Salah Akishinda Afcon na Misri atabeba Ballon D'or?

Alisson Becker the beast
9b76706571b44e5ca4ed56c3ccc3cb06.jpg
 
Vp kuhusu Alisson Becker ? Yupo kwenye ubora wa pekee, mpaka sasa kwenye Copa America hajaruhusu goli ila kwa kuwa ni kipa no one cares! Iliwahi kutokea kwa Neuer aliyekuwa katika ubora wa hali ya juu lakini Ballon Dor aliisikia kwenye bomba。

Allison anaweza kubeba tuzo hiyo.

Kiufupi Allison & VVD ndo watachuana vikali sana.
 
Mimi nadhani top 3 itakuwa ronaldo,vvd,messi.

Hivi ninyi ni wafatiliaji wa mpira kweli, mbona JF hii inatia aibu unaambiwa anaongoza kwa odds ni vvd anafata Messi huyo Ronaldo hata Top 3 hayupo wewe unatoka uliko toka sijui gamboshi

Muwe mnasoma hata comment basi Hovyo kabisa
 
Acha ubwege wewe odds ndio nini? Hizo odds zimetolewa na watabiri au watoa tuzo?
 
Kipa anabebwa pia na safu ya ulinzi. Japo mara kadhaa juhudi binafsi huwa zipo.
Vp kuhusu Alisson Becker ? Yupo kwenye ubora wa pekee, mpaka sasa kwenye Copa America hajaruhusu goli ila kwa kuwa ni kipa no one cares! Iliwahi kutokea kwa Neuer aliyekuwa katika ubora wa hali ya juu lakini Ballon Dor aliisikia kwenye bomba。
 
Mo Salah ameshabeba Uefa Champions League akiwa na Liverpool msimu huu.
Pia anashariki Afcon akiwa na Taifa lake la Misri. Je ikitokea ameshinda Afcon 2019 akiwa na Taifa lake nafasi yake ya kutwaa Ballon D'or ipoje? Maana atakuwa amepata mafanikio makubwa kwa level ya klabu na timu ya taifa.
Karibuni kwa mjadala...
Bado siamini kama kwa msimu uliopita Salah ana mafanikio makubwa kuzidi Bernardo Silva wa Man City.
 
Mwaka huu ni either Ronaldo au yule beki wa Liverpool wanajua wenyewe wanamwita Nani sijui.kombe la uefa nations liege alilochukua Ronaldo limempa credit,Messi angekuwa mpinzani Kama angeshinda kombe alilosusa Jana.
Kwa mafanikio yapi?
 
Hapo nimeandika liverfool Nani kabadilusha?acheni hujuma nyie watu
 
Mwaka huu ni either Ronaldo au yule beki wa Liverpool wanajua wenyewe wanamwita Nani sijui.kombe la uefa nations liege alilochukua Ronaldo limempa credit,Messi angekuwa mpinzani Kama angeshinda kombe alilosusa Jana.

Kwanini asiwe Silva ambae alikua ndio mchezaji bora wa yale mashondano ya Nations League?
 
Je Striker habebwi na safu ya mafoward wenziwe ambao wanamtengenezea nafasi?
Foward mara nyingi unakita ana assist za kutosha pia.

Kipa kupata hii tuzo ni swala gumu sana tunapokuja kwenye swala la impact zao uwanjani. Leo hii mtu mnayemtegemea kufunga asicheze. Matokeo mnaweza msipate.

Lakini leo hii kipa no 1 asicheze. Lakin mbele mna foward/winger mnayemtegemea. Pata tu picha hapo.
 
Nafikiri mkuu kumbukumbu zako ni ndogo sana. Tafauti ya Liverpool ya mwaka jana na Mwaka huu ni Goalkeeper.

Ungeanzia kuvuta kumbukumbu katika fainal ya Champion League ya msimu huu na uliopita tu jibu utalipata.
 
[emoji3][emoji3]nilijua mapema sana hili lazima utaliweka la yule bwege Karius. Unasahau kuwa hata safu ya ulinzi pia ilikuwa bado hawajaiboresha.

Kuna nani alieengezeka mwenye thamani zaidi ya Alisson?
 
Back
Top Bottom