Chukulia umemsalimia mda mfupi kwenye simu ukiwa njiani unarudi ukifika utasalimia tena?Mi nikitoka asubuh nikarudi jioni nasalimia haijalishi tuliongea mchana
Haijalishi mpenzi wala mzaz
Kwani ye akiuchuna bila kudai shikamoo kuna tatizo?Unasalimia tuu hamna tatizo.
Kuna wazazi wameweka salamu ya shikamoo kama ni dozi sasa. Yani asubuhi, mchana na jioni kote anataka umsalimie tuChukulia umemsalimia mda mfupi kwenye simu ukiwa njiani unarudi ukifika utasalimia tena?
Sent using Jamii Forums mobile app
Namlia buyuKama ulimsalimia shikamoo mtu mzima dk 20 zilizopita kwenye simu ukikutana nae utamsalimia tena?
Mimi hiyo salamu ya Shikamoo huwa siielewi kabisa.Kwani ye akiuchuna bila kudai shikamoo kuna tatizo?
Katika vitu nisivyovipenda ni kusalimia salimia mtu shikamoo. Ndo maana sometimes nikipita around nikakuta nyomi ya wazee najibipu kujifanya niko busy na simu ili kuua soo
Salamu ni kila wakati hatukatai, ila salamu ya shikamoo imekaa ki-wack sanaMkuu salamu ni kila wakati, kwan kwenye salaam watu hujiliana hali ambayo kikawaida hubadilika kila wakati.
Yes hizo ndio salamu ambazo zinatambulika kidunia, shikamoo ni salamu inayotumika katika muktadha wa kitumwaMimi hiyo salamu ya Shikamoo huwa siielewi kabisa.
Napendelea>
Habari za asubuhi, umeamkaje, habari za mida, habari za siku n.k.
Ni kweli aisee,hii salamu ya shikamoo inakuzwa sana,wakati ukimwambia mtu umeamkaje au habari ya jioni ndio ina maana zaidiSalamu ni kila wakati hatukatai, ila salamu ya shikamoo imekaa ki-wack sana
Halafu sijui kwanini waafrika tumejijengea imani kua salamu ndio heshima?
Especially shikamoo, ukimsalimia mzee "habari yako" kesho unasikia kengele ya kijiji imelia baraza la wazee limekuwekea kikao kwamba kijana huna heshima
Hata mzazi unamsalimia hivyo bila shikamoo?Mimi hiyo salamu ya Shikamoo huwa siielewi kabisa.
Napendelea>
Habari za asubuhi, umeamkaje, habari za mida, habari za siku n.k.
Mzazi msalimia kwa lugha ya kabila lake.
SawaMzazi msalimia kwa lugha ya kabila lake.
hata hivyo wapo watu bado inanilazimu kuwapa hiyo shikamoo yao.
Mimi hiyo salamu ya Shikamoo huwa siielewi kabisa.
Napendelea>
Habari za asubuhi, umeamkaje, habari za mida, habari za siku n.k.