HesabuKali
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 2,791
- 5,687
Kama ambavyo hukutakiwa kuhangaika kunikumbusha kwakuwa unajua sio kila maoni lazima yafanane.si kila maoni yafanane na unayoitaji hayo sio maoni ukweli ni kuwa kakosa umakini leo maaanhata off/on target hana
Nazani ujawai kucheza mpira hata cha ndimu na kama umecheza umeishia kucheza safa bwege samatta mpaka anaingia pale epl sio kitu cha kubezaNarejea kuongea
ASTON VILLA WAMETAPELIWA PESA ZAO.
Mda mwengine ni bora usitumie kuliko kujitia hasara.
Narejea kuongea
ASTON VILLA WAMETAPELIWA PESA ZAO.
Mda mwengine ni bora usitumie kuliko kujitia hasara.
unahishi kwa kuvizia kwani ka effort kitu gani pale naimani atakaza la sivyo atakuwa rashfordKama ambavyo hukutakiwa kuhangaika kunikumbusha kwakuwa unajua sio kila maoni lazima yafanane.
Haya itaneni mtoe maoni yenu leo tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha dharau mkuu samata na rashford kweli?unahishi kwa kuvizia kwani ka effort kitu gani pale naimani atakaza la sivyo atakuwa rashford
Arsenl wanamaliza nafasi ya 11