tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
Katika kampeni za Chama cha Mapinduzi zinazoendelea leo Septemba 24, 2025 jimbo la Ruangwa MKoani Lindi, Mgombea urais kupitia Chama hicho Samia Suluhu Hassan ameonekana akiwashukuru wamama na vijana wa hamasa wakiwa wanajigalagaza chini kwa ujio wake. Hiki kitendo kinatafsiriwa kama wananchi hao wanaonesha kumkubali huku wengine wakitafsiri kama Samia anachukua nafasi ya Mungu "Kujifanya Mungu na watu kumuabudu.
Soma pia: Nimeamini sasa ikitokea kwenye uchaguzi ikawa SAMIA vs LISSU, Upinzani utachukua nchi
Soma pia: Nimeamini sasa ikitokea kwenye uchaguzi ikawa SAMIA vs LISSU, Upinzani utachukua nchi