Je Samia kutawala kama Mojtaba

mara nyingi tatizo linakuja jinsi alivyouchukua uraisi, ndiyo maana hana amani, haijawahi kutokea tangia kuanzishwa kwa repubic yetu kuwa na raisi ambaye hatumuoni na wala hatujui yuko wapi, safari zikitokea wanashtukiza tu wakati tulizoea raisi akitaka kufanya ziara tunajua hata mwezi before hand ...
 
Kuna namna mambo hayako sawa, au kakikundi kadogo ndio kanashika nchi kama Iran
Huwa siku zote Audi anapewa njaaa,ogopa pale taifa likiungana na likaamua kukuombea njaaa.
 
Tatizo kila akifungua mdomo lazima achafue Hali ya hewa itakua hao wazee wa itifaki wamemwambia atulie kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…