Je, Saratani ya damu (multiple myeloma) inaweza kupona?

Je, Saratani ya damu (multiple myeloma) inaweza kupona?

Charliemic

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2019
Posts
602
Reaction score
969
Naombeni kufahamu kama kuna tiba yeyote inayoweza kumponya mtu mwenye hii saratani ya damu kitaalamu wanaita multiple myeloma au plasma cancer!
 
Multiple myeloma haina tiba ila mgonjwa anapewa supportive care / palliation na dose za mionzi (chemotherapy) pia muhimu kujua imekua diagnosed stage gani.
 
Multiple myeloma haina tiba ila mgonjwa anapewa supportive care / palliation na dose za mionzi (chemotherapy) pia muhimu kujua imekua diagnosed stage gani.
Mgonjwa figo zimefail na pia amevunjika mguu
 
Mgonjwa figo zimefail na pia amevunjika mguu
Ok kuna vitu ethically inapaswa visizungumzwe sana hasa kwenye public platform ushauri wangu ni atembelee hospital yenye oncologist apate ushauri kwa Tz huko sijui kama ziko nyingi ila nadhani ni wasaa wa magonjwa mengine sasa kupewa kipaumbele na kuongeza awareness.
 
Mkuu umefunga Dm
 
Naombeni kufahamu kama kuna tiba yeyote inayoweza kumponya mtu mwenye hii saratani ya damu kitaalamu wanaita multiple myloma au plasma cancer!
Mkuu pole kwa mgonjwa wako waSaratani ya damu. Dawa ipo nione kwa wakati wako ili niweze kumtibia mgonjw awako aweze kupona maradhi yake.
 
Naombeni kufahamu kama kuna tiba yeyote inayoweza kumponya mtu mwenye hii saratani ya damu kitaalamu wanaita multiple myeloma au plasma cancer!
Mgonjwa anapona vizuri tu ina kwa tiba asili ((Herbs) Tuanze na ufafanuzi Aina ya virusi vinavyoambukiza seli T (aina ya seli nyeupe za damu) na vinaweza kusababisha leukemia na lymphoma. Virusi vya leukemia ya aina ya T-cell ya binadamu huenezwa kwa kuchangia sindano au sindano, kwa kutiwa damu mishipani au kwa kujamiiana, na kutoka kwa mama hadi kwa mtoto wakati wa kuzaliwa au kunyonyesha.
Kutokana na amelezo haya ndio maana dawa hiyo (Herbs ya saratani /kansa mgonjwa anatakiwa atumie sio chini ya miezi 6 mpaka 8 kulingana na stage aliyopo, na inaponyesha kabisa ila tatizo la wengi anataka dawa ya kutumia muda mfupi na kupona hapo hapo. Hiyo kwa kweli hakuna njia ya mkato
 
Back
Top Bottom