Je, Saving Foundation loans ni wakweli?!

Je, Saving Foundation loans ni wakweli?!

BabaTina

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2008
Posts
429
Reaction score
581
Guys kuna mtu yoyote anaifahamu hii taasisi? Maake nasikia inato mikopo na kwa njia ya mobile ndani ya dk45, kama kuna mtu anaifahamu in details anijuze tafadhali?

Wapka.mobi
 
Matapeli hao

Asante kaka..ushawahi kuchungulia mtandaoni ama kwenye hizo ofisi zao!? make duh. nahisi kama watu wanaweza kulizwa sana kiasi kikubwa cha pesa ndani ya muda mfupi.
 
At fist hilo tangazo walilileta km zitto kabwe foundation. Niliwasiliana na Tundu lisu akasema hajasikia kitu kama icho labda nimpigie zito mwenyewe bt sikuwa na namba ya zito mahali nilipokuwepo.
Waliweka namba zilizosajiliwa kwa jina la zito.
Hili ni zao la wasomi kutokuwa na kazi, tutegemee mengi zaidi.
 
Asante kwa msaada wako mkubwa sana...hakika kwenye hiyo red hapo umepigilia msumali wa mwisho
 
hizo hela watakua wameziokota au?. dak45 ni matapeli. mia
 
Dah wamesha niliza hao jamaa wataku sanya hela nyng xana wasipo wahiwa
 
hawa watu wanapenda kujithbitisha eti wamesajiliwa na tra,wakat si wanaosajiri mabenk na fund za mikopo tra,pia hawana matangazo kweny web ,web imekaa kitapel,lugha za kihuni.eti'sponsired by gvt and powerd by tigo and registered by tra,wakat juu wameandk voda na tigo,pia hakuna jina la zito
 
Mkopo unatolewa bila kumtathmini mteja, hii kitu haiwezekani, kama inawezekana shirika litakufa mudj si mrefu.
Kuna kaharufu fulani, ngoja niangalie kama kuna panya kajifia darini au ni utapeli wa shirika hili.
 
hakuna cha mikopo hapo ni utapeli wameanza siku nyingi wakitumia itv feki. ridhiwani feki zitto kabwe feki nk.
 
Mkuu wamenipigia simu sasa hivi wakitumia namba 0713263397 na kuniambia nitume hela au waifute fomu yangu ya application. Nimewaambia waifute maana bado sijawaelewa vizuri.

Mkuu hamna pesa iliyosimple kiivyo,hawa jamaa dawa yao ni kutimba ofisini kwao
 
Mkuu wamenipigia simu sasa hivi wakitumia namba 0713263397 na kuniambia nitume hela au waifute fomu yangu ya application. Nimewaambia waifute maana bado sijawaelewa vizuri.

Hebu jaribu kupiga hiyo namba waliokupigia uone kitachojiri
 
Mkuu wamenipigia simu sasa hivi wakitumia namba 0713263397 na kuniambia nitume hela au waifute fomu yangu ya application. Nimewaambia waifute maana bado sijawaelewa vizuri.

Piga zote na ile ya landline.
 
Asante kwa msaada wako mkubwa sana...hakika kwenye hiyo red hapo umepigilia msumali wa mwisho

hapa nimepaelewa zaidi.... Hili ni zao la wasomi kutokuwa na kazi, tutegemee mengi zaidi.:shut-mouth:
 
Back
Top Bottom