Je, Saving Foundation loans ni wakweli?!

Je, Saving Foundation loans ni wakweli?!

kuna jamaa angu ile nimempa hzi mambo akasema ...tayari hii nayo deci part 2
 
Kama umeshawahi kuchukua mkopo utaelewa matapeli wote. Ukishaona Ni lazma utangulize hela ujue magumashi. SI ukakope nmb?
 
Guys kuna mtu yoyote anaifahamu hii taasisi? Maake nasikia inato mikopo na kwa njia ya mobile ndani ya dk45, kama kuna mtu anaifahamu in details anijuze tafadhali?

Wapka.mobi

Jamani tuwe makini na matapeli,kama unataka mkopo fuata taratibu zote nenda ofsin kwao na ikibididi mpige picha anayedai anatoa mkopo.Sidhan ww unataka mkopo then anasema utangulize hela huyo huenda akawa TAPELI
 
Jaman tujipange tuende officin kwao wakamatwe maana wamesha kula yangu 57,500/= na najua wapo wengine japo hawasemi. Ila mimi namba za uthibitisho wa kutuma kwenda kwa Halima James kama anavyo jii ta huyu mtu ninazo. Ebu mtusaidie tuwasiliane na Mh. Halima Mdee, wasimchafulie jina.
 
hawa jamaa nilishawadaka facebook wakijifanya wao ni bahati bukuku kupitia account hiyo.walikuwa wanahamaasisha watu kwa kujifanya bahati nae ni mwanachama eti.niliwazingua sana jadi walinitukana na kufunga account zao
 
Back
Top Bottom