LugaMika
Member
- Mar 13, 2024
- 38
- 53
Niliambia hivi
★"Mwanangu katika maisha yako ya utuuzima ishi na mwenyeji wako kama mgeni,mgeni ajapo ishi naye kama mwenyeji tu ulokwepo naye kabla"
★ Nilipewa nafasi kufikiria kama ningepata hata kuelewa lakini haikuwa rahisi sana.
Ikatafsiriwa na wataalamu wakasema kuwa jambo hilo lipo katika muktadha mbalimbali kama.
★Fedha au Gharama za maisha;
Ukiwa katika maisha yako ya kawaida na wapendwa wako jitahidi sna kuishi maisha ya gharama ya juu sana kulingana na uchumi wako.Ili siku mgeni akija usiwe na mawazo makubwa ya kuwahudumia kwani watatumia kile kitu kizuri ambacho hata wanao hukitumia siku zote.
★ Kiimani na unyenyekevu;Jitahidi sana kuishi kiunyenyekevu sana kwa wanao na mwenza wako ,kwani ni Bahari sana kuliko kuonesha unyenyekevu wa muda kidogo kwa mgeni.
Kwakuwa mazoea hujenga tabia tu,utaja aibika vibaya sana kwa mgeni kwa Tendo la kuuficha utu wako wa kila siku.
★Tunaendelea