Rockefeller
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 1,209
- 2,243
Habari wakuu,
Naomba kujuzwa hivi watoa huduma za afya nchini Tanzania (doctors and nurses) walioajiriwa na wasioajriwa lakini wamesajiriwa na wana leseni za mabaraza yao (MCT & TNMC)
1. Je wanaweza ku practice remotely yaani nje ya health facilities hata bila kuonana na mgonjwa kwa njia ya mawasilianao tu?
2. Je wanaweza kufanya consultation, waka order vipimo, prescribe, na kufanya monitoring remotely?
3. Je sheria na sera ya afya inasemaje?
4. Kama inawezekana inaratibiwa vipi na nani?
Natanguliza shukrani