Je, 'serial namber' ya cheti cha ndoa inafanana kwa mume na mke?

Je, 'serial namber' ya cheti cha ndoa inafanana kwa mume na mke?

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
9,137
Reaction score
34,793
Habari wadau

Swali kwa wanandoa ama waliowahi kufunga ndoa.

Ninatambua ndoa inakuwa na vyeti original copy mbili baada ya kufungwa. Moja ya mke na moja ya mme. Je, vinakuwa na serial namba inayofanana?
 
Tulia Sasa Hivi Watu Wanafungua Makabati Walete Majibu Sahihi
 
Back
Top Bottom