Je, Serikali Ihalalishe Kilimo cha Bangi Kibiashara au Iendelee Kupiga Marufuku?

Je, Serikali Ihalalishe Kilimo cha Bangi Kibiashara au Iendelee Kupiga Marufuku?

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Maoni haya yachukuliwe na Serikali kwa Ajili ya kufanyia.maamuzi ya kisera.

Binafsi naunga mkono hoja Kilimo Cha Bangi Kibiashara na Kwa masharti Kwa Baadhi ya maeneo ya Nchi na nimewahi shusha nyuzi kadhaa humu.

20241113_103559.jpg

Kwa wastani wa msimu mmoja kwa mwaka wakulima wa Tanzania huzalisha mahindi yenye thamani ya $4.5 Billion takribani TZS 10Trilioni kwa wastani wa TZS 700 kwa kilo moja.

Kama wangelima hempu wangezalisha TZS 45 Tril kwa msimu mmoja na kwa misimu mitatu ya mwaka ni sawa na TZS 120 Tril.

“Hakuna mantiki hata kidogo kuruhusu matumizi na umiliki wa pombe na tumbaku na kufanya kanabisi jinai.”

Huu ni wakati sahihi Kuruhusu Kilimo cha Bangi Kibiashara commercial contract farming na watu Wapewe leseni kama za uchimbaji na uwekezaji.
 
Back
Top Bottom