Je, Serikali imeanza mbinyo kwa vyombo vya habari kutoka Kenya?

Trust None

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2018
Posts
1,260
Reaction score
4,419
Je, hali hii inatokana na taarifa zilizotolewa na chombo hiki kuhusiana na afya za viongozi wa Tanzania?

Wenye Azam Tv angalieni channel namba 331

 
Inawezekana kabisa, kwa namna nchi yetu inavyoendeshwa siku hizi, TCRA watakuwa wameshawafungia hao Citezen Tv kama adhabu kwa kutoa taarifa za bosi wao, ila kuwafungia wakati huu kuna mitandao ya kijamii ni sawa na kujidanganya tu, maisha yataendelea kama kawaida.
 
Dikteta bado ana mambo ya kishamba sana hajui kama technologia inakuwa kila dakika, nani bado anaangalia tv tofauti na mpira?
Kwa hiyo kumbe hajafa wala haumwi......maana haya mambo yanashangaza sana, wengine wanatuambia yuko mahututi kalazwa hospital huko Nairobi, wengine wanasema keshakufa, wewe unasema ana mambo ya kishamba.....mbona hamueleweki jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania tuwe macho,
Tuko kwenye Vita ya kiuchumi[emoji849]
 
Kwani wagonjwa hawawezi kuwa na mambo ya kishamba?
 
kuwa mtanzania ni fahari sana...... 😎 😎 😎 πŸ‘......jipu lisipokaa chini yapumbu likunyime raha basi litaka usoni likukarahishe...
 
Sababu ni wao walikataa kununu mahindi yetu, tumewakomesha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Naionea huruma sana Nchi yangu inatumia Nguvu kubwa sana kukanusha kuwa Nzige tuko nao mitaani.
 
Mbona hapa dstv mm natazama vyema tu, na ktn newz wame zungumzia eti na wao wanataka wamuone JPM πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wa kenya sio wana mtakia nn JPM
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]one of the best exciting and most interesting coment
 
Sasa kama wanaonyesha video chafu ndiyo unataka azam waruhusu uchafu huo kurushwa kwa watanzania!? Umeelezwa baada ya uchafu huo kwisha azam watawafungulia!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…