Je, serikali ina wajibu wa kulinda Imani, Dini, Mila, Desturi na heshima za Jamii tofauti zinazounda na kuwapata watanzania?

Je, serikali ina wajibu wa kulinda Imani, Dini, Mila, Desturi na heshima za Jamii tofauti zinazounda na kuwapata watanzania?

Mohamed Abubakar

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2014
Posts
984
Reaction score
1,179
Nimemsikia Rais Samia akiviasa vyombo vya habari kulazimisha. kuhabarisha MILA, DESTURI NA HESHIMA l za mataifa mengi zinzokwenda kuntume za kwetu.

Kama Rais akiwaasa wanahabari yeye kama mkuu wa serikali ni wakati gani serikali huwa na haki ya kuvunja mila, desturi na heshima za jamii zinazounda Tanzania wakati wa utekelezaji wa majukumu yake.

Naongea haya wakati wa zama hizi ambapo baadhi ya jamii zikilalamika kuwa serikali haiwalindii mila, desturi na heshima uhuru wao, bali kuwapa mateso, kuwadhibiti kwa sababu ya kuonekana ni kama WAHALIFU.

Kabla sijatoa mifano dhahiri. Napenda watu wachangia mada hii kiujumla na kwa maslahi mapana ya taifa.
 
Back
Top Bottom