porojo na uzushi nonsense sana huu gentlemanNaona wameanza kunenepa Sasa. Wafikiri mambo yamepoa. Wanasema tugange yajayo....! Hehehe! mahii mahii! Ndugu zetu bado hawajapumzika kwa Amani mupaka tulipe kisasi chao. Nye Nye Nye . Miye sijui walahi. Kama wafikiri tumepotezea haya nyetenyete... Na bado
Juzi nikakuta maturubai na viti na bendera ya taifa halafu wameweka bango la samuya ardhi clinic.. Nikajua sass kweli wametuzoeaNaona wameanza kunenepa Sasa. Wafikiri mambo yamepoa. Wanasema tugange yajayo....! Hehehe! mahii mahii! Ndugu zetu bado hawajapumzika kwa Amani mupaka tulipe kisasi chao. Nye Nye Nye . Miye sijui walahi. Kama wafikiri tumepotezea haya nyetenyete... Na bado
Familia zao zipo salama watajali nini sasa??Juzi nikakuta maturubai na viti na bendera ya taifa halafu wameweka bango la samuya ardhi clinic.. Nikajua sass kweli wametuzoea
Familia zao zipo salama watajali nini sasa??Juzi nikakuta maturubai na viti na bendera ya taifa halafu wameweka bango la samuya ardhi clinic.. Nikajua sass kweli wametuzoea
Wale wahuni wangeingia ikulu na kutangaza serikali mpya tungesikia hivi vilio vya watu waliouliwa tarehe 29 October?.Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, wananchi wengi wanakiri juhudi zako katika kuongoza taifa letu na kuimarisha sekta mbalimbali. Hata hivyo, kuna masuala mazito yanayohitaji ufafanuzi na hatua thabiti.
Tukio la maandamano ya tarehe 29 Oktoba mwaka jana lilisababisha vifo vya raia wasio na hatia, jambo ambalo limeacha majonzi makubwa kwa familia na jamii kwa ujumla.
Wananchi walitarajia kusikia kauli yako ya faraja, maelezo ya kina, na mpango wa kuhakikisha matukio kama haya hayajirudii tena.
Ukimya au kutojali kwa upande wa uongozi wa juu wa nchi unatafsiriwa na wengi kama kupuuzia thamani ya maisha ya Watanzania.
Ni wajibu wa serikali kuhakikisha kila raia analindwa, na pale ambapo maisha yamepotea, kuwe na uwazi, uwajibikaji, na hatua za kisheria dhidi ya wahusika.
Tunakuheshimu kama kiongozi, lakini tunakukumbusha kuwa heshima ya uongozi inajengwa kwa kusimama kidete kulinda haki za wananchi na kuonyesha mshikamano wa kweli katika nyakati za majonzi.
Tunatarajia kuona mabadiliko ya dhati katika namna serikali inavyoshughulikia matukio ya uvunjifu wa haki za binadamu, ili taifa letu lisijenge taswira ya kupuuza uhai wa raia wake