Je Serikali inaona hivi vibanda vinavyochipuka kila kona ya Jiji.

Je Serikali inaona hivi vibanda vinavyochipuka kila kona ya Jiji.

Miaka miwili iliyopita Serikali ilifanya jitihada Kwa kile kilichotajwa kuwapanga machinga, zoezi ambayo lilifanyika nchi nzima. Mafanikio yalikuwa makubwa kwani maeneo mengi ambayo yalikuwa na changamoto yalipangika vizuri .
Nguvu na gharama kubwa zilitumika.
Kwa sasa hakuna jitihada zozote zinazofanyika kuhakikisha, maeneo takriban yote ambayo yalisemekana kusafishwa kubaki kwenye usafi ule ambao Serikali ulisema ilikuwa inautaka. Mfano wa meoeno hayo ni Kuanzia, Mlandizi, Chalinze, kibamba Luguruni, Stand ya Mbezi Louis , Kituo cha mabasi cha Magufuli (Humu machinga wameweka Hadi mafiga wanapikia na msosi kabisa), Kimara n.k. View attachment 3181417
Huenda suala la wamachinga linachukuliwa kisiasa, lakini Jambo hili halipaswi kufumbiwa macho.
Serikali inapaswa kuona na kuchukua hatuna mapema, na kuwa na consistency katika maamuzi Yake, ili kuepusha misuguano isiyokuwa na tija. Nasawsilisha.
Subiri baada ya uchaguzi ndio utaona serikali itakavyochukua hatua.
 
Back
Top Bottom