Young fadson
JF-Expert Member
- Nov 6, 2017
- 1,177
- 1,406
Imagine nmehitimu chuo, nikakosa kazi si kwa kupenda, sababu kubwa ni kutokua na uwezo wa kusafiri kwa ajiri ya interview hasa ktk mikoa ya mbali
Nmejichanga na kupata kihekali kimoja na kufanya kilimo cha mpunga, nmepata mbegu kwa mbinde
Shamba nimekodi kwa pesa nliyoipata kwa mbinde
- Nimelima kwa mbinde
- Nimepalilia kwa mbinde
- Mbegu ndo usiseme
Baada ya mavuno nikapata gunia 15 kwa mbinde
Nlipokua njiani na mazao nkakuta barriers za ushuru wa serikali na utapeli wao kwa jina takatifu la ushuru
Nimewaza na kuwazua kuhusu hizi hatua zote nlizopitia bila msaada wa serikali mwisho serikali inaniibia kwa njia ya ushuru na inafunga pia mipaka nsipate soko lenye uwezo wa kunikwamua
Je, serikali ipo na sisi au inajari masrahi ya majambazi inayoyafuga mle ndani?