Je, Serikali ipo na Sisi au imeamua kutuzamisha kabisa?

Hongera sana Mwakani ongeza Hekari acha kulalamika na kulialia ushaanza kuwa mwanzo mzuri
Nmeongeza kutoka hekari moja sasa nmelima hekari sita, lakin ushauri wako hauizuii serikali kuendelea kuvuna kingi kutoka kwangu wakati mim sivuni chochote ktoka kwa serikali yangu.
 
Huoni kama solution ya maisha yangu imekua interfered negatively na serikali?
Kwahiyo hatuna cha kuishauri serikali mbali na kushauriana sis wenyew
Serikali hii ya kuanzisha shamba la miwa huko dakawa na kulitelekeza na bado inaagiza sukari Brazil,hii hii serikari iliyotelekeza BBT youth camps zote,Serikali hii hii ya kuvaa suti na kusoma bajeti hewa,buda woke up,it's late buda
 
What should we do now buddah, our future is our first priority, how are we going to achieve buddah
 
Mkuu Yan pore sana kwanza, dah serikari hii haijari masrahi kwakweri, Yani Dah kwo ulilima hekali mzee😁(r na L)

Anyways piga moyo konde hakuna penye maslahi pasipo na changamoto mkuu jikaze kisabuni endelea kusaka fursa Mungu Atakusaidia, kaa na wenye uzoefu wakupe muongozo ikiwezekana Ata kufanya kazi kwenye mashamba yao
 
What should we do now buddah, our future is our first priority, how are going to achieve buddah
Start achievement for you and your family forget the disappearing ship it's all gone,unafikiri nani ataleta mkate wako,you and yourself
 
Issue si issue za msaada, kwan mwenyew nshachukua hatua, na nauona mwanga wa kutisha mbele yangu ,tatizo ushuru huku wakijua hawajashiriki kwa namna yotote ktk mbio zangu mbali na kuchukua kilicho changu
 
This
 
Attachments

  • IMG_4147.jpeg
    IMG_4147.jpeg
    74 KB · Views: 2
Issue si issue za msaada, kwan mwenyew nshachukua hatua, na nauona mwanga wa kutisha mbele yangu ,tatizo ushuru huku wakijua hawajashiriki kwa namna yotote ktk mbio zangu mbali na kuchukua kilicho changu
Practice to break some rules
 
Shida sio kudeka, issue ni ile barrier ya ushuru wakati kila vita nmepigana mwenyew pasipo msaada wa serikali

Kwa style hii naweza toboa kweli? Kumbuka hata soko la mazao yangu halieleweki nauza kwa bei ya hasara ili kupata mtaji zaid wa shamba
Kwahiyo usilipe ushuru kisa ulisoma na hukupata kazi?

Sisi hatukusoma na ushuru tunalipa miaka na miaka tushazoea.
Sasa usipolipa ushuru elimu bure shule ya msingi hadi kidato cha nne itawezekanaje? Au unataka watoto zetu wasisome?

Halafu mwanaume acha kulaumu na kulialia mitandaoni komaa
 
Umeshajipa mda wa kutafakali ukubwa wa taifa lako? Umefanya udadisi kuhusu raslimali zilizo ktķ taifa lako,

Ni kwa kiwango gani serikali imewekeza ktk raslimali za Tanzania yetu boss

Kuna mataifa hayana tunu ambayo Tanzania imejaliwa lakin yamepiga hatua ya kutisha

Tumekwama wapi hadi tuanze kuishi kwa kuviziana

Wenye mamlaka wameshindwa kutumia akili ktk kuendeleza raslimali na kuamua kuvizia masela tulioamua kutumia akili ktk eneo kidogo lililo ktk mazingira yetu
 
Bwana wewe acha kulialia hebu piga kazi kila mtu angekuwa analialia hivyo hakuna mtu angekuwa na mafanikio.

Unayoyaongea kila mtu anayajua ila watu washajua kulalamika hakusaidii solution ni kupiga kazi2
 
Ili tusonge mbele, kupiga kazi huku ukiona manyang'au wakikurudisha nyuma kwa speed haiwezi kua solution
 
Pambana mkuu, Jifunze kusurvive ndani ya mifumo mibovu.

Tushalalamika sana, Ila ndiyo kwanza yanazidi.
 
Back
Top Bottom