Young fadson
JF-Expert Member
- Nov 6, 2017
- 1,177
- 1,406
- Thread starter
-
- #21
Nmeongeza kutoka hekari moja sasa nmelima hekari sita, lakin ushauri wako hauizuii serikali kuendelea kuvuna kingi kutoka kwangu wakati mim sivuni chochote ktoka kwa serikali yangu.Hongera sana Mwakani ongeza Hekari acha kulalamika na kulialia ushaanza kuwa mwanzo mzuri
Serikali hii ya kuanzisha shamba la miwa huko dakawa na kulitelekeza na bado inaagiza sukari Brazil,hii hii serikari iliyotelekeza BBT youth camps zote,Serikali hii hii ya kuvaa suti na kusoma bajeti hewa,buda woke up,it's late budaHuoni kama solution ya maisha yangu imekua interfered negatively na serikali?
Kwahiyo hatuna cha kuishauri serikali mbali na kushauriana sis wenyew
What should we do now buddah, our future is our first priority, how are we going to achieve buddahSerikali hii ya kuanzisha shamba la miwa huko dakawa na kulitelekeza na bado inaagiza sukari Brazil,hii hii serikari iliyotelekeza BBT youth camps zote,Serikali hii hii ya kuvaa suti na kusoma bajeti hewa,buda woke up,it's late buda
Start achievement for you and your family forget the disappearing ship it's all gone,unafikiri nani ataleta mkate wako,you and yourselfWhat should we do now buddah, our future is our first priority, how are going to achieve buddah
Issue si issue za msaada, kwan mwenyew nshachukua hatua, na nauona mwanga wa kutisha mbele yangu ,tatizo ushuru huku wakijua hawajashiriki kwa namna yotote ktk mbio zangu mbali na kuchukua kilicho changuStart achievement for you and your family forget the disappearing ship it's all gone,unafikiri nani ataleta mkate wako,you and yourself
Practice to break some rulesIssue si issue za msaada, kwan mwenyew nshachukua hatua, na nauona mwanga wa kutisha mbele yangu ,tatizo ushuru huku wakijua hawajashiriki kwa namna yotote ktk mbio zangu mbali na kuchukua kilicho changu
Seems we can have this as only and best solutionPractice to break some rules
Kwahiyo usilipe ushuru kisa ulisoma na hukupata kazi?Shida sio kudeka, issue ni ile barrier ya ushuru wakati kila vita nmepigana mwenyew pasipo msaada wa serikali
Kwa style hii naweza toboa kweli? Kumbuka hata soko la mazao yangu halieleweki nauza kwa bei ya hasara ili kupata mtaji zaid wa shamba
Umeshajipa mda wa kutafakali ukubwa wa taifa lako? Umefanya udadisi kuhusu raslimali zilizo ktķ taifa lako,Kwahiyo usilipe ushuru kisa ulisoma na hukupata kazi?
Sisi hatukusoma na ushuru tunalipa miaka na miaka tushazoea.
Sasa usipolipa ushuru elimu bure shule ya msingi hadi kidato cha nne itawezekanaje? Au unataka watoto zetu wasisome?
Halafu mwanaume acha kulaumu na kulialia mitandaoni komaa
Bwana wewe acha kulialia hebu piga kazi kila mtu angekuwa analialia hivyo hakuna mtu angekuwa na mafanikio.Umeshajipa mda wa kutafakali ukubwa wa taifa lako? Umefanya udadisi kuhusu raslimali zilizo ktķ taifa lako,
Ni kwa kiwango gani serikali imewekeza ktk raslimali za Tanzania yetu boss
Kuna mataifa hayana tunu ambayo Tanzania imejaliwa lakin yamepiga hatua ya kutisha
Tumekwama wapi hadi tuanze kuishi kwa kuviziana
Wenye mamlaka wameshindwa kutumia akili ktk kuendeleza raslimali na kuamua kuvizia masela tulioamua kutumia akili ktk eneo kidogo lililo ktk mazingira yetu
Ili tusonge mbele, kupiga kazi huku ukiona manyang'au wakikurudisha nyuma kwa speed haiwezi kua solutionBwana wewe acha kulialia hebu piga kazi kila mtu angekuwa analialia hivyo hakuna mtu angekuwa na mafanikio.
Unayoyaongea kila mtu anayajua ila watu washajua kulalamika hakusaidii solution ni kupiga kazi2
Basi endelea kulalamika Kama unaona ndio solution wacha sisi tupige kaziIli tusonge mbele, kupiga kazi huku ukiona manyang'au wakikurudisha nyuma kwa speed haiwezi kua solution
Haina nomaBasi endelea kulalamika Kama unaona ndio solution wacha sisi tupige kazi