Masalu Jacob JF-Expert Member Joined Jul 26, 2017 Posts 1,013 Reaction score 1,183 Nov 1, 2024 #1 Habari Tanzania ! Naomba kuuliza inaruhusiwa kujenga Hospital binafsi na kutoa huduma ya Afya bure bila gharama yoyote kwa kila mtu mwenye changamoto. Nauliza swali, je kwa nyinyi Serikali mtaruhusu mtu binafsi atoe hiyo huduma buree!? Karibu.
Habari Tanzania ! Naomba kuuliza inaruhusiwa kujenga Hospital binafsi na kutoa huduma ya Afya bure bila gharama yoyote kwa kila mtu mwenye changamoto. Nauliza swali, je kwa nyinyi Serikali mtaruhusu mtu binafsi atoe hiyo huduma buree!? Karibu.